Nimeona umuhimu wa mahakama ya kadhi

Kwa kweli baada ya haya mashtaka ya Mahimbo, sasa nimeona umuhimu wa mahakama ya kadhi. Yaani mtu kushindwa kumridhisha mkeo kaamua kwenda kwa mwanaume wa 'ukweli' unaamua kwenda mahakama kuu? Huu ni udhalilishaji wa mahakama kuu. Nadhani mahakama ya kadhi ingefaa kwa kesi za hivi..
Ka.firi mkubwa
 
mfu si lazima uvikwe sanda.

tatizo lenu mmekaririshwa kwamba kwa Waislam ibada lazima ifanyike
msikitini na hamjui kwamba hata hivi ninavyojibishana na wewe hapa jf
yaweza kuwa ibada vilevile lkiwa nitakidhi vigezo na masharti ya ibada.

kwahio hoja yako haina msingj wa kuzuia mahakama ya kadhi KURASIMISHWA
KIKATIBA.

Ahsante kwa kuja.

Sasa kama ni ibada, kwanini mnataka iingizwe kwenye katiba?
Au hamjui nini maana ya Ibada?
 
Si kila ibada inafanywa msikiti uislamu huujui shut up zungumza vitu ambavyo unaelimu navyo. Uislam hata kula ni ibada ww ukila huombi,kufanya kazi ni ibada.... eeh nipe number yako ntakufahamisha umuhimu mahakama ya kadhi

Faida ya mahakama ya kadhi ni kuua wanyonge na kuwaneemesha wenye nacho.
 
Lengo la Mahakama ya Kadhi ni kuanza kuponda wanawake mawe, pia Kuua wanawake wanaoolewa na wakristu kama ilivyofanyika kule Sudan ya Kusini
Zenji nani kapondwa na mawe?au kenya UK UGANDA RWANDA,S.AFRICA,Kuwa mkweli.
 
Kwann ni lazima mahakama ya kazi iingie kwenye katiba?? Niambie sababu ili tuendelee kuelimishana hapa usipanic ndugu

After independence, the Kenya Government expressed its desire not to be bound by all pre-independence treaties and agreements entered into by the colonial government. President Kenyatta informed the United Nations of the intention of the Kenyan Government to review all such treaties and agreements and determine those which it would honour. Among those immediately honoured was the agreement protecting the existence of the Kadhis courts. The Kadhis courts, as with any other court, must be provided for in the constitution, as otherwise their establishment would be unconstitutional. Once provided for under the constitution, the courts themselves can either be established in the constitution also or in an Act of parliament. The problem with establishing them under ordinary law by an Act of parliament is that it would make them vulnerable since any decision to abolish them would require a simple majority of the members of parliament. Under the present standing orders of parliament, which sets the quorum of the house at 30, it means that the approval of only sixteen (16) members of parliament would be sufficient to repeal the Kadhis courts. In contrast, to abolish the courts as enshrined in the constitution would require a two-thirds (2/3) majority in parliament. Kenyan Muslims therefore find great relief and solace in the entrenchment of the Kadhis courts in the constitution.
The history of the Kadhis courts illustrates that this institution is a crystallised right of the Kenyan Muslim minority. The Kadhis' courts have embodied a manifestation of the beliefs of the Kenyan Muslims without conflict with other Kenyans. Any move to deprive the Kenyan Muslim community of its constitutional rights to this practice is discrimination based on religion, which is a contradiction of the rights of citizens under the constitution.
The jurisdiction of the Kadhis courts, then as now, is to adjudicate on matters relating to personal law (marriage, divorce and inheritance) where both parties are Muslims. Throughout the centuries that they have been in existence, the Kadhis courts have provided an efficient and cost-effective resolution of the disputes before them.

The Kadhis courts are not mosques, they are courts of law set up to deal with specific types of disputes. The office of a Kadhi is not a religious office, it is a legal office whose holder is versed in Muslim personal law. They provide a specialised forum for dealing with personal law disputes where both parties are Muslims. Any religious role, which a Kadhi may play, is outside his official duties.

Pata maarifa zaidi hapa THE KADHIS COURTS
 
Hii wala isilete tabu sana suala la kushushwa au kuandikwa ni suala la mtu alieamini na ambae hajaamini na haliwezi kumlazimisha kukubali au kukataa .
Qur-an imeshuka na itaendelea kuwa imeshuka kwa watu tulioiamini .

nzi hawezi kutingisha boga

Ndio maana wakasema sikio la kufa aliskii dawa, aumbiwi wala hauoni haya bana ngoja tusubiri tuone kama uko peponi mtapewa hao bikra 72 na wanawake wasipewe utaniambia. mimi nimemaliza.:cool2:
 
Tuwe wakweli jamani.Serikali tangu 1971 imekuwa na utaratibu wa kushughulikia hayo masuala ya waislam ktk mfumo wa mahakama.Na kama hiyo haitoshi imeshawapa ruhusa ya kuanzisha hz mahakama za kadhi na tayari kadhi mkuu mnaye,sasa huku ktk katiba mnataka nn zaidi? Mnatudanganya et ipate nguvu kisheria, ukweli ni kuwa mnataka walipwe na serikali kwa kodi za wananchi wote hata ambao si waislam!! Yaani ajira za kuchinja ktk mabucha hazijawatosha? Nani aliwaambia mkimbie umande? Kuruhusu kadhi ktk katiba italeta vurugu kubwa kati ya umma wa kiislam mana wao kwa wao wanakinzana sana juu ya uendeshaji wa hz courts na wanaostahili kuwa makadhi.Kuepusha hili ni kuwaachia wenyewe vinginevyo kila siku serikali itakuwa inasuruhisha migogoro yao.
 
Back
Top Bottom