Nimeona nafuu ya moyo wangu ni kukaa kimya

we kokudo unazungumzia yupi maana kuna siku ulisema wa kwako kakutenda...uishapata mwingine?
 
jaman c mala ya kwanza kunifanxia hu anakaa kimya nikikaa kimya na yz anakaa yn nicpomtafuta ndo imetoka bc bwana kama penzi linazaliwa basi litakufa cku moja nahc ndo mwisho we2 umefika

hamna mapenzi ya kweli hapo fanya maamuzi mapema
 
we kokudo unazungumzia yupi maana kuna siku ulisema wa kwako kakutenda...uishapata mwingine?
No nilipga moyo konde 2kasahau yaliyopita tena nicnge give up mm 2cngekua mpaka leo.naona amefanya pipi xaxa nimechoka nicjelazmisha nikapata makubwa
 
Pole eenh, jaribu kuongea nae ili ujue moja! Ila watu wana moyo mgumu yaani mimi siku ikipita sijaongea na mchuchuuuuu sijiskia raha hata kidogo. Hata usiku nitashtuka mara mbili mbili.
 
Mmoja wao wa ufisadi n huyu wangu kanifisadia kbs
 
Uganga mwingine bana sasa huyu baba anafanyaje du.... Hii ndo jf ina watu mbalimbali......
nunua nyama...kata kipande kidogo...kiweke kwenye nanilii kwa muda wa siku saba....jitahidi umuite kwako kwa ajili ya dinner...mpikie nyama siku hiyo huku ukikarangiza kwa ufundi wako wote...tumbukiza kile kinyama kilichokuwa kwenye nanilii na hakikisha anakila.....simu zita miminika mpaka utakuwa unazikata mwenyewe.......
 
out of topic, hivi wale wanaume mabwege(bushoke) wanapatikana wapi sikuhivi? wale ambao unamwambia nisindikize guest house nina mkutano na still anaamini.
kama yupo humu jf naomba ani PM
 
Cku zinakatika naanza kuizoea khali hii mungu nisaidie
 
Cku zinakatika naanza kuizoea khali hii mungu nisaidie
 
Bahati mbaya sana nimejaribu kumkumbuka huyu mlengwa simkumbuki kabisa :😝
 
Back
Top Bottom