Nimeona nafuu ya moyo wangu ni kukaa kimya

Jamani mwenzenu nimeamua kukaa kimya mana najihisi kama jukumu la kupenda nimelibeba mwenyewe mwenzangu cmuelewi cku hz nimejarbu kumvumilia ss nimeshndwa leo cku ya 3 no call no sms nik2ma hajibu nikipga hapokei kisa nimemuuliza alikwenda wapi baada ya kutoka ofcn kwake tatzo hl limekua likijiludialudia jamani je nimefanya kosa kukaa kimya?

Kama umemvumilia na umefanya yoote hayo bila kukaa kuongea nayo... IMO hujamtendea haki... Mapenzi bana ni kazi saana inahitaji patience maana mtu ukiwa na pupa utabadilisha wapenzi kila siku... Mtafute na mfuatilie kwa ukaribu.. Ukute ana pressing issues ambazo kwa kweli zinamsumbua ila anashindwa kabisa kuweka wazi... Sometimes ni vizuri saana kua inapotekea mpenzio harespond kwa simu basi mtafute face to face ili usijudge tofauti na kuepusha kuamua maamuzi makubwa out of assumptions... Pole saana Mapenzi Ndio huuma BUT hutukomaza...
 
Hakufai move on u deserve someone better

Mh! sijui...!
Me ningeshauri utake kujua kwanza sababu ya yeye kula bati ninini!
na kwa maana hiyo hapa inabidi ukomaetu mkae chini mzungumze mustakabali wa mapenzi yenu.
usiwe na kiburi cha kufikiria kuacana nae kabla ya kujua hata tatizo ninini.
labda na yeye kuna jamab kaambiwa/kasikia/kaona ju yako.
Mapenzi (kama upo siriaz)ni investment.inabid utumikie.
 
Jaman c mala ya kwanza kunifanxia hu anakaa kimya nikikaa kimya na yz anakaa yn nicpomtafuta ndo imetoka bc bwana kama penzi linazaliwa basi litakufa cku moja nahc ndo mwisho we2 umefika
 
Maisha yenyewe ya kibongo presha,tena akupe presha na mwingine,angalia ustarabu mwingine,kabla ya kufanya hivyo ongea nae ujue tatizo lake au lako.
 
Ye keshapima na kuona mi cfai mapenzi c kama mpira wa miguu kwamba mchezaji anapocheza kwa muda mrfu anakua na uzoef kwenye mapenzi iko tofaut mkizoeana ni chanzo cha mifarakano
 
mmmhhh! kushauri hasa katika mapenzi ni rahisi ila yakikukuta wewebalaaa lake utadhani we ndo mtu wa mwanzao duniani yakukute. hebu nijinyamazie tu
 
Hapana ucseme hvyo we tia neno yakikukuta na wewe 2takushauri
 
Dawa yake huyo ni ndogo sana ila ni ngumu sana kama umependa serious!! Na wewe uchune kama humjui na ikibidi futa na namba yake na jikite kwenye shughuli zako!!!

Siku atakayokurupuka nawe jifanye humjui atalia huyoooo!!!

Ila narudia tena kama umependa kweli ni ngumu kufanya hivyo coz ukiamka usiku unawaza kalala na nani au anafanya nini na vitu kama hivyo utajikuta umemtumia msg ya kumuuliza `mambo` au `usiku mwema` ili tu ucheki kama atajibu au lah!!!

Pole sana
 
nunua nyama...kata kipande kidogo...kiweke kwenye nanilii kwa muda wa siku saba....jitahidi umuite kwako kwa ajili ya dinner...mpikie nyama siku hiyo huku ukikarangiza kwa ufundi wako wote...tumbukiza kile kinyama kilichokuwa kwenye nanilii na hakikisha anakila.....simu zita miminika mpaka utakuwa unazikata mwenyewe.......
 
Umenena mkuu inabdi nifunge mkanda mapenzi hayana maana
 
nunua nyama...kata kipande kidogo...kiweke kwenye nanilii kwa muda wa siku saba....jitahidi umuite kwako kwa ajili ya dinner...mpikie nyama siku hiyo huku ukikarangiza kwa ufundi wako wote...tumbukiza kile kinyama kilichokuwa kwenye nanilii na hakikisha anakila.....simu zita miminika mpaka utakuwa unazikata mwenyewe.......

hahahahaa nimecheka sana,huyu mtoa mada ni dume anaiweka wapi hio nyama?lol
 
Jamani mwenzenu nimeamua kukaa kimya mana najihisi kama jukumu la kupenda nimelibeba mwenyewe mwenzangu cmuelewi cku hz nimejarbu kumvumilia ss nimeshndwa leo cku ya 3 no call no sms nik2ma hajibu nikipga hapokei kisa nimemuuliza alikwenda wapi baada ya kutoka ofcn kwake tatzo hl limekua likijiludialudia jamani je nimefanya kosa kukaa kimya?

usikae kimya,utakufa na sononi......mpigie umuuulize nini msimamo wake juu yako,,,,,akupe kama ni A au B ujue.......in the mean time anza na wewe kutafuta mtu wa kuziba huo upweke umuweke pending kama ulivyowekwa lol ukiona huku kimenuka unaendeleza libeneke kwingine...
 
hahahahaa nimecheka sana,huyu mtoa mada ni dume anaiweka wapi hio nyama?lol
C nimeambiwa niweke kwenye nanihii jaman au we umejua nanihii ni nini!?mwaya ntaweka umesema cku7 je nikitaka kukojoa?
 
Nibora nirudi zangu kijijn nikaendelee kukata mkaa
 
Back
Top Bottom