Nimeombwa Kuwa MC, haya niongezeeni ujuzi.

Chizi Fureshi

JF-Expert Member
Oct 26, 2010
1,718
457
Wakuu heshima kwenu za ukweli kabisa. Ndugu yenu nimeombwa kuwa Mshereheshaji MC kweli tafrija ya kuaga mwaka2011 na kuukaribisha mwaka 2012. Jukumu kama hili sijawahi kulifanya japo nimeaminiwa kutokana ushiriki wangu wa kawaida kwenye maswala ya kijamii. Kwa maana hiyo nadhani nahitaji ujuzi zaidi katika kufanikisha matarajio ya washiriki. Mwenye kunisaidia madoido ya kunogesha sherehe na afanye hivyo sasa. Tunategemea mgeni rasmi kuwa ni mkuu wa mkoa. Naleta kwenu.
 
kwenye ufunguzi anza namna hii
yo yo yo, ni mimi MC wenu badili tabia nakuja kwa kasi kama upepo....
na kwa kumaliza sema hivi
si tumeelewana jamani????? watajibi sio mzeeeeeee
 
Nashangaa watu wanashangaa nini na sherehe za jinsi hii..sijui ni wivu?
Mimi mwenyewe ofisini kwangu ndio kwanza tunaanza mipango ya sherehe ya aina hii!
Cha msingi ndugu Fureshi, kwa vile mko na Mwanasiasa, basi uzingatie Itifaki katika kila kauli yako, na ujitahidi kumpamba huyo Mgeni rasmi, hata kama unajua si haki au hastahili sifa fulani.
 
we ukiingia ukumbini unawasalimia wahudhuriaji kisha unaanza kujitambulisha kuwa wewe ni CHIZI FURESHI na kuanza kuwatukana,sherehe itanoga kuliko maelezo.
 
Wakuu heshima kwenu za ukweli kabisa. Ndugu yenu nimeombwa kuwa Mshereheshaji MC kweli tafrija ya kuaga mwaka2011 na kuukaribisha mwaka 2012. Jukumu kama hili sijawahi kulifanya japo nimeaminiwa kutokana ushiriki wangu wa kawaida kwenye maswala ya kijamii. Kwa maana hiyo nadhani nahitaji ujuzi zaidi katika kufanikisha matarajio ya washiriki. Mwenye kunisaidia madoido ya kunogesha sherehe na afanye hivyo sasa. Tunategemea mgeni rasmi kuwa ni mkuu wa mkoa. Naleta kwenu.

Namuonaga chizi fureshi mwenzio KIBONDE anaanza kwa kusema asalam aleykum, si vibaya nawe ukianza hivyo!
 
kuna kile kipande cha kuchekesha lazima uwaulize mahudhuriaji maneno haya:
Mc CF:kama kuna amelewa na anataka Kutooooooo
watakuitikia,kut@wbwa
Mc CF:anataka kutoka ,basi mlango uko wazi.
Mc CF:kama kuna mtu anayetusikia kupitia kipaza sauti na anataka Kufiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.....
watakuitikia,kuf1wra
Mc:Kufika kwenye hii sherehe,basi njoo hapa kituoni Zakhem.
mingine nikikumbuka nitakukanyagia ndugu yangu.
 
Nashangaa watu wanashangaa nini na sherehe za jinsi hii..sijui ni wivu?
Mimi mwenyewe ofisini kwangu ndio kwanza tunaanza mipango ya sherehe ya aina hii!
Cha msingi ndugu Fureshi, kwa vile mko na Mwanasiasa, basi uzingatie Itifaki katika kila kauli yako, na ujitahidi kumpamba huyo Mgeni rasmi, hata kama unajua si haki au hastahili sifa fulani.

Hiki ndo nakihitaji mkuu PJ. Unajua wengine tulikuwa "uchagani", kwa mambo kama hayo kifamilia. Sasa kama taasisi tunamua kufanya hii kitu kwa pamoja. Natugongea na thanx.
 
kuna kile kipande cha kuchekesha lazima uwaulize mahudhuriaji maneno haya:
Mc CF:kama kuna amelewa na anataka Kutooooooo
watakuitikia,kut@wbwa
Mc CF:anataka kutoka ,basi mlango uko wazi.
Mc CF:kama kuna mtu anayetusikia kupitia kipaza sauti na anataka Kufiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.....
watakuitikia,kuf1wra
Mc:Kufika kwenye hii sherehe,basi njoo hapa kituoni Zakhem.
mingine nikikumbuka nitakukanyagia ndugu yangu.

Hii ntaitumia kwenye issue kama hizi tukiwa na masela, oyo oyoo oyooooo.
 
Masai alikuwa MC msibani alipopewa kipaza sauti Akasalimia "Msiba hoyeee...maiti safii..,Amependesa au hajapendesa..wenye wifu ife kama huyu laiyoni.
 
Back
Top Bottom