Nimeomba vyuo vya afya, nafasi za kidato cha sita zikitoka nimechaguliwa, nifanyeje?

Apr 26, 2016
54
7
Habari wana jamvi,
Mim nime apply vyuo vya afya sasa nauliza post za advance zikitoka nimechaguliwa alafu vyuo selection zikawa bado! Je nitafanyeje? Na je vyuo selection zinatokaga mwezi wa ngapi? Naomba ushauri plz
 
mshika 2 moja humponyoka, nenda a level kuliko kujilimit
mkuu kama anataka kwenda course yoyote ya afya ya mwanadamu bora aende diploma form six ni kupoteza mda tuu. kama. ana akili kubwa ahakikishe atapata division one form six na iwe ya pcb. vinginevyo ataumia tuu mim yamenikuta akisoma cbg labda ataenda imtu na vyuo vingne vya private kwa shida sana na awe na pesa ndefu bodi ya mkopo haikupi pesa yote. ila vyuo vya serikali asahau kabisa.
kama vp ani pm namba yake nimpe ushauri zaid ndugu yangu
 
Habari wana jamvi,
Mim nime apply vyuo vya afya sasa nauliza post za advance zikitoka nimechaguliwa alafu vyuo selection zikawa bado! Je nitafanyeje? Na je vyuo selection zinatokaga mwezi wa ngapi? Naomba ushauri plz
Achana ma a level nenda kasome diploma hutajutia uamuzi wako ten a afya usipoteze mda
 
Advance jina tu
kasome diploma moja kati ya hizi
Pharmacy
Radiography
Optometry
Physiotherapy
Medical Lab
Biomedical
 
Nenda chuo

Tena
Dental therapey ni nzuri bado ni kozi yenye watu wachache na ina fursa pana kiuchumi

Degree unaweza kufanya dental surgery au hata medicine
 
Nenda chuo

Tena
Dental therapey ni nzuri bado ni kozi yenye watu wachache na ina fursa pana kiuchumi

Degree unaweza kufanya dental surgery au hata medicine

nimepanda ushaur wako ila nilkua nimesha apply co je unaweza nisaidia nijinsi gani naweza badil chaguz ?Nisaidie
 
Kama nia yako ni kuwa daktari Haswa,nakushauri uende Clinical Officer (CO). Asikudanganye mtu,PCB ni ngumu na unahitajika uipige vizuri haswa,yaani upate division 1 ndo utachaguliwa vyuo vya serikali. Kuna washkaji zangu nimesoma nao advance na nia na ndoto zao walikuwa kupiga MD,walisoma kwa bidii Sana lakini mwisho wa siku wameshindwa kuchaguliwa kusoma MD badala yake ni walimu sasa hivi.
Ila kama unajiamini unawez na hakika utabutua,basi nenda form six ukapige miaka yako miwili umalize uingie degree. Ila kapige msuli haswa.

Selection zinaanza kutoka kuanzia mwezi wa sita na kuendelea hivyo naamini utajiamulia mwenyewe panapokufaa. Kila la kheri dogo.
 
daa!
dogo usijichanganye,nenda a level.
anaekudanganya kuwa utaenda diploma halaf upige bachelor ya medicine/dental bila kupita advanc anakudanganya, may be kama utaenda nursing hapo sawa unless usahau kufika mbali
 
Kama unajiamini kwamba six utapiga mask ambazo utapata mkopo 100% Nenda…lkn kama hujiamini bora uende chuo tu maana afyA haina inanguvu sana
 
mkuu sijakupata vizur naomba unieleze kidogo mkuu
hzo course nlizo list watu wake utawakuta Kuanzia level ya hospital za wilaya
ni ngumu kukuta kitengo cha pharmacy /x-ray/kupima macho level za dispensary
lakin CO ni weng tu dispensary
 
Kama unajiamini kwamba six utapiga mask ambazo utapata mkopo 100% Nenda…lkn kama hujiamini bora uende chuo tu maana afyA haina inanguvu sana
hakuna mtu wa course ya afya anak anakosa mkopo...
yani kupata mkopo ndo iwe sababu ya kwenda a level?
 
ila kama unaamua kwenda chuo jua utalazimika kughalamikia kila kitu kwa sababu AFYA ngaz ya certificate na diploma hawana mkopo
 
Back
Top Bottom