Nimeomba mikopo benki mbili imekosa

JF Member

JF-Expert Member
Dec 14, 2014
7,391
9,665
Duuuhh nimechoka sana leo. Tangu mwezi wa saba natafuta mikopo kwenye baadhi ya benki zetu. ninavyo vigezo vyote. tatizo sipatiwi mikopo. kiasi cha Riba nacho kimeongezeka hadi 26% kwa mwaka. Tatizo nini? nikijaribi kufuatilia naambiwa niwe mvumilivu. tangu mwezi wa saba hadi leo. nimeamua kujikatia tamaa.
 
Back
Top Bottom