Nimeokota SHANGA Bafuni ASUBUH YA LEO

Madame B, huwezi sema waijua bahari isipokuwa umekutana na mkizi. Wamjua weye?
Great thinker, hiyo bafu ya kushare si mbele kuna kamba za katani za kuanikia nguo? Zitundike hapo, utashangaa ni za mwanaume na sio mwanamke. Mwanamke akiangusha haachi angeokota.

Afu nishawahi pewa lifti na mkaka mmoja hv,
Nilipokaribia kushuka akapandisha T-shirt yake akanionyesha shanga halafu akaniachia namba za simu akanambia kama kuna mteja nimtafutie.
Aisee mpaka leo sijaelewa anamaanisha Mteja wa nini?
Wa Kununua Shanga au Wa Kumuuzia 0713!!.
Ila King'asti ni kweli si wavaaji wote wa shanga ni wanawake,hata wanaume wanavaa.
 
Last edited by a moderator:
Unajua kuna watu wa ajabu sana dunia hii.
Anadhani yeye peke yake ndo ana uchungu na nchi yake, wakati hata mie mwana CCM nina uchungu na hii kasi ya Chama Kile cha kombati. Sasa kila mtu akiyapa airtime machungu yake si kitakuwa hakifanyiki kitu?

Na Ma:ban: Yataongezeka humu Jamvini.
 
Afu anajiita Baharia,
Baharia atakuwa yeye??
Mabaharia wa kike tupo huku tumetulia kimya,kama hatupo.

Hahahaa yatakuwa yamemuingia naona kaamua kujitosa mwenyewe baharini kabla hatujafanya hivyo.
 
Hahahaa yatakuwa yamemuingia naona kaamua kujitosa mwenyewe baharini kabla hatujafanya hivyo.

Afu hajarudi tena, sijui kajificha wapi!
Chezea Bakora za ChitChat wewe,
Watu tuna mawazo yetu yeye analeta Ubaharia wake hapa?
Anafanya kazi Mv. KIGAMBONI afu anajiita Baharia.
Wera weraaaaaa!!!
Ina Huuuuuu!!!
 
life yangu ya kawaida wala sina status kubwa hivyo...labda siku nije kukutembelea Madame B huko ulipo nijionee vile maisha yalivyo kimkandamkanda

Nimejaribu kuongea jinsi aina ya maisha.
Na hyo staili sana sana ipo ktk nyumba za kupanga,japo siishi huko.
Huku kwetu kila mtu na Bafu lake.
 
kama we ni me mpelekee manzi wako,kama we ni ke vaa,lakin sometime unaweza kuokota mapepo!
 
kama we ni me mpelekee manzi wako,kama we ni ke vaa,lakin sometime unaweza kuokota mapepo!

binti yangu umeliona hilo eeh...maana waswahili wana mambo mengi....kitendo cha kuokota tu unaweza kujikuta unageuka bwabwa hivi hivi....huko Mbozi kuna watu waligeuzwa ng'ombe baada ya kuokota kibunda cha noti.
 
zirudishe huko huko bafuni...ila hapa najiuliza wewe Bajabiri ni me au ke?,
kama ni me hilo bafu huwa mnatumia na ke?
loh kama ni hivyo nahisi huwa mnaokota vingi zaidi ya shanga

watu 8 me ni mwanaume,,,,,,bafu tunalotumia ni moja kwa wanaume na wanawake,tena huwa lina foleni kweli,ila leo nimeoga mapema sana,huwa nakuta makufuli,ila hili la shanga leo ndo mara ya 1
 
Last edited by a moderator:
Duh hiyo ni noumer...kwa kweli sijawahi pitia hiyo life style

mimi nimepanga nyumba ina zaid ya vyumba 8 (namanisha ZAIDI) IT MEANS ZAID YA HAPO,BAFU NA CHOO NDO HUMOHUMO////!!!!!!!
 
life yangu ya kawaida wala sina status kubwa hivyo...labda siku nije kukutembelea Madame B huko ulipo nijionee vile maisha yalivyo kimkandamkanda

jaribu,unaweza uka-publish journal,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom