Nimeokota SHANGA Bafuni ASUBUH YA LEO

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Habar wakuu,leo asbuh majira ya saa 12 nilipoingia bafuni nikakuta kitu kimedondoka chini,baada ya kukiangalia kwa makini nikagundua kuwa ni shanga,ambazo kwa kuziangalia tu nikagundua ni za KIUNONI,ila sasa mimi nikaziokota na kuziosha kisha nikazihifadh sehem salama KWANGU,
najiuliza nitumie njia gani sahihi ya kuhakikisha zile shanga nazikabidh kwa mwenyewe ambaye simfaham,je nitangaze au nipite chumba kwa chumba kuulizia mmiliki wa shanga zile?zoez hili nataraj kulifanya jioni au usiku maana ndo ntakua na wasaa
 
We nimpuuz.taifa linaangamia wewe unaokota ngungul mpeleke demu wako.naukome kuleta habar za udaku humu nyvma yako
 
We nimpuuz.taifa linaangamia wewe unaokota ngungul mpeleke demu wako.naukome kuleta habar za udaku humu nyvma yako

Hv inakuwaje mtu analeta Post yake halafu anatokea jitu lingine kama wewe BAHARIAA na unaanza kuikashifu?
Unakera hamna tu wa kukuambia.
Shenz taipu.
Weka Upuuzi wako unaouona wa maana.
Acha dharau.
 
Habar wakuu,leo asbuh majira ya saa 12 nilipoingia bafuni nikakuta kitu kimedondoka chini,baada ya kukiangalia kwa makini nikagundua kuwa ni shanga,ambazo kwa kuziangalia tu nikagundua ni za KIUNONI,ila sasa mimi nikaziokota na kuziosha kisha nikazihifadh sehem salama KWANGU,
najiuliza nitumie njia gani sahihi ya kuhakikisha zile shanga nazikabidh kwa mwenyewe ambaye simfaham,je nitangaze au nipite chumba kwa chumba kuulizia mmiliki wa shanga zile?zoez hili nataraj kulifanya jioni au usiku maana ndo ntakua na wasaa

Ila siku nyingine usipende kuokota vitu.
 
we kweli BAHARIAA unataka j3 hadi jpili tuwaze taifa tuu?
naona umekuja na kiherehere kibaya, jf "member"
slow down..roadworks ahead!!

Mpe makavu huyo,
analeta Siasa ChitChat?
Muelekeze jukwaa lake aende.
Dizaini hyo kule Musoma unakatwa Mikono uone utabofya wapi.
Man At Work.
 
Last edited by a moderator:
Bajabiri hii thread imekuwa duplicated jaribu kuongea na mods waipige chini mojawapo maana soon nimechangia kwenye thread nyingine kama hii
 
zirudishe huko huko bafuni...ila hapa najiuliza wewe Bajabiri ni me au ke?,
kama ni me hilo bafu huwa mnatumia na ke?
loh kama ni hivyo nahisi huwa mnaokota vingi zaidi ya shanga
 
Last edited by a moderator:
zirudishe huko huko bafuni...ila hapa najiuliza wewe Bajabiri ni me au ke?,
kama ni me hilo bafu huwa mnatumia na ke?
loh kama ni hivyo nahisi huwa mnaokota vingi zaidi ya shanga

Kweli wewe wa Masaki.
Njoo huku Uswazi,
Bafu moja zaidi ya Familia 6 zinatumia bafu hilohilo.
 
Last edited by a moderator:
Mijitu mingine inauzi kama nini,
Kama hana kazi mwambie aje kwangu nimuajiri.
Huku ni ChitChat,
atajutajeee!!!
Anatuletea minyenyere tu humu.

Unajua kuna watu wa ajabu sana dunia hii.
Anadhani yeye peke yake ndo ana uchungu na nchi yake, wakati hata mie mwana CCM nina uchungu na hii kasi ya Chama Kile cha kombati. Sasa kila mtu akiyapa airtime machungu yake si kitakuwa hakifanyiki kitu?
 
welcome back mkuu....
yaani kuna watu wengine wana mimba ya maneno mabaya mmoja wapo ni huyo BAHARIAA

Unajua hata wale storoway waliozamia meli, wakaambiwa wachague kutoswa au kutoa kitobo utamu nao huwa wanajiita mabaharia.
Unakuta limesafiri nchi kibao, lakini limerudi na redio tu.
 
Madame B, huwezi sema waijua bahari isipokuwa umekutana na mkizi. Wamjua weye?
Great thinker, hiyo bafu ya kushare si mbele kuna kamba za katani za kuanikia nguo? Zitundike hapo, utashangaa ni za mwanaume na sio mwanamke. Mwanamke akiangusha haachi angeokota.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom