Nimeoa na ninaishi na mke mwenye VVU kwa miaka 7

We are at different vibrational frequencies.You are at very low level vibration.Ndio maana unajichanganya bila hata kujijua,ndio maana una quote mambo yasiyokuwepo,ndio maana unakana kauli zako mwenyewe,ndio maana unatoa lugha chafu.

Nitaendelea tu kujadiliana na wewe kwasababu ya upendo wangu kwako,lakini kwa mtu yeyote mwenye moyo mwepesi hawezi kuendelea kujadiliana na wewe.Jaribu kujitahidi kufanya meditation itakayokuwezesha kujitambua wewe ni nani,kwanini unaishi,na kukuwezesha pia kujua historia halisi ya dunia ambayo kwayo ndio inatoa majibu yote ya kwanini hivi sasa dunia iko hivi ilivyo.
Haha, that makes two of us!! No hard feelings of any sort towards you,, the "liking" is mutual!!
Unaposema we vibrate at different frequencies unakosea,, I vibrate and you don't. Medicine ni kubwa sana kwako, kama ilivyo kubwa kwangu. Tatizo lako you think you know alot,, but truth be told you don't know shit!! Unajaribu kujibu yaliyokuzidi,, maana you don't possess the knowledge. Mfano,, kuna post unadai Kipimo cha HIV hakipimi kirusi halisi Bali hupima "viashiria" vya kirusi. Mbona hauongelei test nyingine more advanced za HIV kama DNA-PCR?? Na je ni wangapi ambao wametest positive kwa vipimo vya awali ambavyo wewe unavikataa,, na wakatest positive kwa DNA-PCR?? Au DNA-PCR nayo huiamini? (lakini labda huielewi,, nisikuulize sana) . Na je,, ni magonjwa mangapi ambayo vipimo vyao vya awali hutegemea "viashiria" ? Let me mention a few: typhoid fever, hepatitis, syphilis, brucellosis, etc!! Ama haya magonjwa nayo ni feki??

Got so much love for you bro,, it hurts to see you playing plain stupid,, ndo maana nakwambia knowledge yako juu ya pathophysiology of diseases na role ya research ktk magonjwa ni almost sifuri,, ukubali tu. Ndo maana watu hutumia miaka wakisomea haya mambo,, sio kubahatisha.

But on the other hand,, you will do anything for a "buck", won't you? Can't blame you
 
Wow, this is absolutely good stuff coming..., thanks bro Mkuyati og kwa study yako. Kweli nimeamini, kama ilivyo siku zote elimu haina mwisho. Thank you so much for widening my know how........ Polymerase Chain Reaction (PCR), This reminds me some years back when I did Biotechnology. Nafarijika sana bwana Mkuyati to be honest. Lakini please, let us not throw stones to each other when discussing this. Nathamini mno michango yenu kwenye hili tatizo nililonalo. Najua wote nyie, bwana Deception nawe Mkuyati and many others have done some research on these stuff. I was just thinking around on how to get off my chest this burden I'm bearing through sharing to you guys. Na kwa kweli nimepata mengi na nayafanyia kazi. Mjadala bado upo wazi.....
 
Mfano,, kuna post unadai Kipimo cha HIV hakipimi kirusi halisi Bali hupima "viashiria" vya kirusi.

Soma maneno yako vizuri hapo kwenye bold,halafu lete post yangu yoyote ambayo mimi nimesema kama ulivyo quote hapo kwenye bold ili watu wajue kwamba wewe unasema ukweli na unajitambua.
 
Wow, this is absolutely good stuff coming..., thanks bro Mkuyati og kwa study yako. Kweli nimeamini, kama ilivyo siku zote elimu haina mwisho. Thank you so much for widening my know how........ Polymerase Chain Reaction (PCR), This reminds me some years back when I did Biotechnology. Nafarijika sana bwana Mkuyati to be honest. Lakini please, let us not throw stones to each other when discussing this. Nathamini mno michango yenu kwenye hili tatizo nililonalo. Najua wote nyie, bwana Deception nawe Mkuyati and many others have done some research on these stuff. I was just thinking around on how to get off my chest this burden I'm bearing through sharing to you guys. Na kwa kweli nimepata mengi na nayafanyia kazi. Mjadala bado upo wazi.....

Kuna kitu kikubwa sana ambacho ubongo wa watu wengi unashindwa kukielewa.Hebu ngoja nizungumze kwa mifano/mafumbo.

Tunakisifu sana kipimo cha PCR for nothing,hatujui msingi wa tatizo na ndio maana tunatoa sifa zisizostahili kwa mambo yasiyostahili.Hebu wewe mwenyewe msimsikilize mgunduzi wa hicho kipimo PCR, Prof Kary Mullis anasemaje kuhusu HIV and AIDS.Usijikite kwenye kipimo alichokigundua,bali jikite kwenye kile anachokizungumza.

Narudia,msikilize kwa makini sana kwenye hiyo video hapo chini,baada ya kumsikiliza unaweza kuniambia umeelewa nini.Kumbuka kwamba Prof. Kary Mullis ndiye mgunduzi wa PCR,hivyo tunategemea yeye awe mstari wa mbele katika kampeni za HIV/AIDS.Haya msikilize sasa.

Video 1:

Video 2:
 
Last edited:
Soma maneno yako vizuri hapo kwenye bold,halafu lete post yangu yoyote ambayo mimi nimesema kama ulivyo quote hapo kwenye bold ili watu wajue kwamba wewe unasema ukweli na unajitambua.
Vp kuhusu hayo magonjwa yanayopimwa kwa kuangalia viashiria kama alivyo yataja mkutatt je ni kweli au ni uzushi mkuu?
 
Hakika Mungu ni mwema, kwa mtu wa kawaida utaona kama ndoto lakini huu ndio ukweli.

Nilimchumbia mpenzi wangu bila kutambua status zetu za maambukizo ya VVU.

Kosa nililofanya ni kutokwenda nae ANGAZA siku hizo kwa kujiamini kuwa yeye pia anajali afya.

Nilicheki afya peke yangu na kukutwa sina maambukizo ya vvu. Nikamsisitiza na kumshauli pia nae acheki.

Lakini baada ya kucheki akanificha hali yake ya maambukizo ya VVU kwa kuogopa ningemwaacha.

Tuliendelea kukutana as husband & wife bila kinga. Very innocent and stupid, tukakubaliana tuzae mtoto na MUNGU akatubariki, baada mtoto kuzaliwa nikagundua ahaaa kumbe mwenzangu looh ana VVU na alitumia dawa akiwa mjamzito ili kumkinga kiumbe.

Baada ya hapo sasa, je, nikawaza nimwache au. Nikasikia sauti ininiambia nikimwacha tu, atakufa ghafla hivyo nijipe moyo tufunge ndoa nae na nimwaanzishie dawa na nikafanya hivyo na yupo salama nami pia kwa neema za MUNGU bado sina maambukizi ya VVU angalau hadi leo.

Tunaishi tu kwa amani na tunashiriki kwa kutumia kinga kama wataalam wanavyoshauri. Huu ndio msalaba wangu nimeamua kuubeba kwa gharama zote kwani bado nampenda sana mke wangu kipenzi na tunaheshimiana vizuri.

Niliwaza pia, je ningekuwa ndio mimi yeye angefanyaje, na kama ningemwacha ninayemjua tayari ni yupi tena, huwezi jua ningekutana na mabaya zaidi ya VVU.

Ujumbe wangu: vijana wote ninawaomba tumshirikishe MUNGU kwa kila hatua ili kumpata mke/ mume mwema na tusipende kwa matamanio ya kitandani au sura, umbile, na mali tusije tukajilaumu mpaka kufa.

Mungu ni mwema anitiae nguvu mpaka leo nimekuwa karibu nae zaidi na zaidi na anazidi kufanya miujiza mingi tu maishani mwangu.
Kwako wewe hongera sana Mungu akuongezee ujasiri.
Mie nisingeweza, hata kidogo nisidanganye bure!
Ukizingatia alinificha hapo ndio kabisaaa!!!
 
Bongo ukiwa mjanja na roho ngumu unapiga hela fasta.........unaweza kukuta hii mada kaianzisha au kaitunga mwenyewe deception kwa different id au ndio walewale. Sasa hapo anachofanya ni kuzunguka kuwavuruga watu. Kifupi deception ni kama marketing officer wa hizi clinic za mitaani za akina dokta year zinazopiga hela kwa . Wanapataje watu? Mbinu ndio kama hizi. Na ndio maana utaona kikubwa anachokifanya deception ni ku google na kuwaponda sana na kuwadharau madaktari proffesional. Na hii ni mbinu ya kuwahamisha wagonjwa kutoka hospital kwenda kwa hao miti shamba akina ndodi na dokta miaka. Na asiwadanganye mtu anawapata hasa. Hivi kwa akili za kawaida anaposema ukimwi ni fake halafu yuko nyuma ya keyboard kubishana. Man jitokeze andika kitabu upige hela if its real.
 
Ma dokta waliosomea miaka 6 wanaishia kuendesha vigari vya mjapani . Lakini akina maji marefu . Ndodi. Mwaka wanaendesha ma vogie sports. Sasa why wasiibuke watu kama akina deception na kudharau madaktari. Na kuanzisha thread za kujitangaza.....sasa mfano mtu kama huyu asingepata upinzani hapa jf angezoa vichwa kibao . Kesho mngemuona na vogue lake . Naye ana zahanati yake anatibu ngoma . Kansa . Kisukari. Ukiuliza vyeti utambiwa certificate ya mwaka mmoja miti shamba china jumlisha na google
 
Duu hongera inabidi upate tuzo ya mteja bora wa salama condom na umewadhihirishia ubora wa bidhaa zao
Hapo ishu sio Salama,kumbe wewe unadhani salama ndio ilimsaidia??,nakwambia sivyo,maana jamaa anasema mkewe kagundulika baadae,kumbe hiyo ni neema ya Mungu tu ilifanya kazi.
 
Bongo ukiwa mjanja na roho ngumu unapiga hela fasta.........unaweza kukuta hii mada kaianzisha au kaitunga mwenyewe deception kwa different id au ndio walewale. Sasa hapo anachofanya ni kuzunguka kuwavuruga watu. Kifupi deception ni kama marketing officer wa hizi clinic za mitaani za akina dokta year zinazopiga hela kwa . Wanapataje watu? Mbinu ndio kama hizi. Na ndio maana utaona kikubwa anachokifanya deception ni ku google na kuwaponda sana na kuwadharau madaktari proffesional. Na hii ni mbinu ya kuwahamisha wagonjwa kutoka hospital kwenda kwa hao miti shamba akina ndodi na dokta miaka. Na asiwadanganye mtu anawapata hasa. Hivi kwa akili za kawaida anaposema ukimwi ni fake halafu yuko nyuma ya keyboard kubishana. Man jitokeze andika kitabu upige hela if its real.

Mkuu ,UKIMWI upo ambao mwili unakosa kinga na sababu yake ni Lishe mbovu,maji ya kunywa si salama. Hausababishwi na kirusi kiitwacho HIV na hakuna kitu kama hicho.HIV nifake ni mradi wa wakubwa wa dunia wakiratibiwa na CDC(Marekani) , WHO kwa faida yaMakampuni ya madawa ambayo hao wakubwa ndio wamiliki. Kuna mada humu mdau ameweka na video na linki tofauti tofauti pitieni hizo. Akili ku mkichwa .
 
Umeandika vizuri sana na inawezekana kabisa ikawa kweli. Ila kama umempenda kwa nini umuite msalaba???? Ina maana unahitaji msaada??
 
Sikuwa na maana hiyo mkuu. Neno msalaba limetumika kuelezea namna mtu anavyoweza vumilia shida/ mateso//tabu yoyote ile bila kukata tamaa.
 
God is amazing God.. He always fights for His Holy and Righteous people .. This is something we all must learn .. Hallelujah .. Glory to God... She must be the luckiest one to have you brother .. And definetly you both meant to be together .. May the Lord blesses your union and the whole family in Jesus name, Amen.. Be blessed dear ... Thanks..
 
Back
Top Bottom