mkuyati og
JF-Expert Member
- Apr 19, 2011
- 821
- 587
We si umesema ARV huleta ukimwi,, hivyo wale wanaotest positive na hawatumii dawa ila huumwa magonjwa nyemelezi na kufa,, ama kuharibika baadhi ya organ za mwili unawaelezeaje? Let's also talk of the numbers,, wangapi ambao wako HIV negative na hupata magonjwa nyemelezi ? Na wale ambao wako positive je what are the chances kwao kupata magonjwa nyemelezi ama kufa kabisa?? Do you think it's a coincidence?Na wale ambao hawana HIV ila bado huumwa na kufa unawaongeleaje?
Ndo maana swali lako haina basis,, maana you don't speak science!!
Bottom line, kama umesoma comments humu ndani vizuri then naamini at this point it is clear to you kwamba people don't take you seriously!! You are just another deluded clown dancing in circles!! You will have to try harder bro,, lasivyo utabaki kukalamika tuuu kwamba unaumia sana kuona huyu na yule bado wanaamini kile na hiki!! Grow some common sense brah,, it may help you.