Nimenunua chicken leg......(kidhungu hiki....!!!)

sasa ikawaje?

Sasa ikawaje?! Lengo la huyo jamaa likawa limetimia...baadhi wakawa na hofu kwamba usimchezee huyo jamaa, anaweza kuwa usalama wa taifa au anaweza kukulipua ukimchezea...akiingia kwenye baa anaagiziwa moja moto au baridi..lakini wengine wachache wakawa hawana time naye kwani walikuwa wanamjua mwanzo mwisho kwamba jamaa ni mbwembwe tu, kumwezesha kuishi mjini...
 
Hahaha, ukivamiwa na wandewa nafkiri utarusha pesa ziwaue
si ukiwa na hela lazima uwe na countermeasure in place.
Au nawe utakuwa kama yule bosi wa home shopping centre anazurura usiku bila mlinzi hadi wakamwagia tindikali
 
si ukiwa na hela lazima uwe na countermeasure in place.
Au nawe utakuwa kama yule bosi wa home shopping centre anazurura usiku bila mlinzi hadi wakamwagia tindikali
Labda mkuu yuko vizuri kwenye self defence
 
hapo umekosa suppressor tu ili uqualify kuwa a sniper weapon
uploadfromtaptalk1464374885333.jpeg
 
Hiyo ya kwanza mkuu
Nice selection mkuu, hiyo ni engraved colt 1911..
-ina uzito wa gramu 1105
-urefu wa 210mm
-muzzle velocity ni 251m/s
-inaingiza risasi saba kwenye mag yake na pia ni semi automatic pistol
 
Back
Top Bottom