Nimenuniwa mpaka napigwa mkwara eti lazima nihame

Mkuu kama unavyojua spidi ya macho ni zaidi ya mwanga ilikuwa ni kwenye tukio lenyewe yaani hili jambo linaninyima raha
Chabo ndiyo imekuponza.....
Huwezi kuingia kichwakichwa bafu la kuchangia kama mlango umefungwa.
Halafu lazima kulikuwa na some kind of moaning going on.Kwa kuwa mimi napenda chabo, moaning nkizisikia lazima nifungue mlango na najua wewe ndicho ulichofanya.
 
Maskini Nitonye ustaarabu wako wa kupenda kuoga umekuponza,pole sana,usiwe na wasiwasi utalimaliza salama,
 
kaka au una hako katabia nini ka kuwawahi asubuhi? ulishagundua time zao so unawalia timing tu. ngoja kwanza mkuu nikuulize, ivi ni watu wazima ama?
 
Maskini Nitonye ustaarabu wako wa kupenda kuoga umekuponza,pole sana,usiwe na wasiwasi utalimaliza salama,

Yaani mkuu ningejua mapema yaani bora ningeenda kazini bila hata/ya kuhitaji kuoga
 
Inamaana walikuwa wanajimapenzi kwa bafu na mlango ukiwa wazi na nyumba ya upangaji?ni wazima kiakili?
Watakuwa hawakuwa wamepanga kugonga hata kimoja ila mazingira ndo yalipelekea kuonja hata kamoja hadi wakasahau mlango hahahahaaa siunajua cha bafuni kitamuuu!!!!!11
 
Kama ni wewe basi nitajie jina la mkeo hapahapa

Agriiiiiiiii*!¥"# ......... ndio unazidi kunipandisha hasira!! nikutajie jina la mke wangu?! kwa hiyo ulikua unamtaka ndio mana uka2chungulia?!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom