Nimemuota faiza foxy

Ngongoseke

JF-Expert Member
Jan 1, 2012
3,204
1,462
Mods hebu niambie BAN ya faiza foxy a,k,a jembe inakwisha lini? Maana nusu mwaka sasa hayupo hapa' ff kama umebadili ID pls ni pm japo nijue uwepo wako hapa maana nakukubali ileile
 
Ahsante sana, kumbe ulinitetea na kuni-miss. Mmmwaaaaa!
 
kazi yake inafahamika hapa jf,huyu faiza kwa wasiopenda maendeleo wanamuonaga kichom,lakini ki-ukweli huyu mama siasani na hata ktk jukwaa la dini ni mkuki
 
Kwa sifa ulizommwagia, ghafla nimejikuta nna laki mbili hapa inaniwasha!
Haina demand! Nataka nimtumie, nitamtumiaje?
Au nikutumie ww Slave utazifikisha?
 
Last edited by a moderator:

hebu acheni kumpa kichwa... nyie ndio mnaoendekeza ujinga humu jf
 
Last edited by a moderator:
Utatokewa na mabaya ukoo wenu!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom