Nimemuonga mpenzi wangu naye amemuonga jamaa, ushauri tafadhali

watoto wana kazi, unahonga, anahongwa wee na upoyoyo wako unaenda polisi??

Afu bado unauliza ufanyeje?
 
Sasa kama ni wa kujiproud si umoe za uso? Mumabie aimu yako nzuri kana niliyompa fulani. Mtoto nampenda sana yule, next namletea iPad3. Unamjua?
Afu umuone atakavyonywea. Yaani unapata maumivu alone? Wewe msamaria aisew.
Tatizo jamaa aliyeogwa mtu wa kujiproud sana, msema maneno machafu. Alafu the way nivyoinunua nikikumbuka, inauma.
 
tatizo wakaka bila hata ya kuombwa mnaanza kutupa hela simu na shopping kalikali

hivi musipotoa hivi vitu hamuhisi kutumiliki????????????????

HUYU MDADA AKAREKODI MKANDA WA ----- AKUWEKEE KWENYE SIMU then akurudishie

Mwe! we Marytina hapo kweny kepito letaz hapo, akarekodh mkanda.........!!!??
 
Last edited by a moderator:
tukupe ushauri gani dogo, kwani wakati mnahongana ulituomba ushauri? Uliona wapi watu wanamhonga mwanamke ili wapendwe?.
 
Ulishaipitia ile sheria ya uchaguzi inayoruhusu takrima? Takrima haina risiti,lol

Teh teh teh.... hiyo hongana yao haipo covered kwenye sheria ya uchaguzi maana walishachaguana ati. Yaani hapo hata Dr. Hosea akiitwa hamkamati mtu!
 
Ukome kuvamia fani ya UHONGAJI!!!!!!!!!!!! Uwe unahonga kwa stepu, sio kichwa kichwa!!!!! Hicho kisimu hakuna kukisamehe wala nini, wewe umekosea kuleta ubabe wakati kuku keshaliwa, haya zoa manyoya uende nayo nyumbani!!!!! Hapo inabidi kwanza umzidi akili, ikwemo kumdanganya simu isiwakosanishe, bado wampenda, akusamehe kumuweka ndani. Blah blah blah hadi aamini soo limeisha na amekutuliza ka maji ya mtungi. Subiria Mwezi hivi, jifanye una shida kinomaaa, mkope LAKI 5 akikupa tu mwambie ndo fidia ya SIMU, Achape lapa. Ila kiubabe ushapotezwaa kitambo!

hii fani anaiweza mumeo peke yake hawa wengine wanatafuta magonjwa ya moyo.
 
Kwanini huonge? msichana mtokee kwa gia ya kumpenda peke yake akigoma achana naye endelea na msako ukikaa vibaya mabinti watakugeuza SACCOS ya masharti nafuu.
 
we wkt unataka kuhonga hukuomba ushauri sasa umepigwa changa huna jeuri sometym majanga yanakufungua akili dizani we mwenyewe huyo dem keshakuhonga sana mali alizopewa na majibaba ya nje ukawa unapokea tu, nawe zamu ya kuliwa chako unalalamiiikaaa
 
Ukome kuvamia fani ya UHONGAJI!!!!!!!!!!!! Uwe unahonga kwa stepu, sio kichwa kichwa!!!!! Hicho kisimu hakuna kukisamehe wala nini, wewe umekosea kuleta ubabe wakati kuku keshaliwa, haya zoa manyoya uende nayo nyumbani!!!!! Hapo inabidi kwanza umzidi akili, ikwemo kumdanganya simu isiwakosanishe, bado wampenda, akusamehe kumuweka ndani. Blah blah blah hadi aamini soo limeisha na amekutuliza ka maji ya mtungi. Subiria Mwezi hivi, jifanye una shida kinomaaa, mkope LAKI 5 akikupa tu mwambie ndo fidia ya SIMU, Achape lapa. Ila kiubabe ushapotezwaa kitambo!

nimekubali we kwel mtoto wa town.
 
Like this!
Kama sie, unanunua pichu, unaifua kila siku. Mwenzio anaenda kuvuliwa, na anaivaa anarudisha home ifuliwe before next round! Mapenzi raha sana, mkizingatia separation of power.

King'ast umenichekesha sana. Ila kweli we una sheke before use mwingine anasubiri ushake halafu yeye ana use ukisha shake kwa ajili yake.
But huyu jamaa kanichekesha sana maana nashangaa simu alimpa kabisa kuwa na ya kwake na yeye kaamua kumgawia mwingine si mali yake bwana halafu jamaa anamkamata aliyepewa anampeleka polisi.
Kweli waweza dhani unapanda kumbe ndo unavunwa hivyo
 
Wakikumegea demu wako nawe tafuta mnyonge ummegee haipunguzi maumivu inarudisha hadhi kiume- mwana FA
acha kulalamika na wewe tafuta mwingine wa kumliza

Tukiwa tunawaza kama wewe.
 
Wakikumegea demu wako nawe tafuta mnyonge ummegee haipunguzi maumivu inarudisha hadhi kiume- mwana FA
acha kulalamika na wewe tafuta mwingine wa kumliza

Tukiwa tunawaza kama wewe tutaisha kwa HIV.
 
Nimemuonga Mpenzi wangu Sumsung Duos Galaxy GT B5512 jumatatu, jana kamuonga jamaa. Nimempeleka Police anirudishie kakataa kata kata sikumpa. Pamoja na yote police walimueka mahabusu baada ya saa limoja jamaa kamtoa. Je nimfanyaje?

Nakumbuka huko nyuma nilipatwa na kisanga kama hiki, niliamua kununua simu kali ya bei mbaya kuliko aliyohonga na alipoiona nilanza kuiponda ile niliyomuhonga kwa hasira akaahidi kuileta niliyomuhonga ili achukue ile kali hapo ndio mchezo ukaisha maana nilichukua zote mbili nikatambaa huku kuku ameshaliwa kitaaaaambo.
 
Dah!pole swahiba kwanini ucwe kama mm mwenzio nimeonga NOKIA ya tochi? Fanya kama umejikwaa nyanyuka pangusa mitako yako sepa.
 
Tatizo jamaa aliyeogwa mtu wa kujiproud sana, msema maneno machafu. Alafu the way nivyoinunua nikikumbuka, inauma.

Kila tatizo linapojitokeza inatakiwa ujiweke huru na kujiuliza kwanini linatokea, jiulize kwanini za kutosha alafu baadae unarudi na majibu ya kila kwanini kwani kwenda police si suruhisho pia ulimpa kama mrembo yanini tena umnyang'anye. Ule wimbo kumbe ni kweli yanatokea "KANUNUA SIMU WALIPOACHANA KAMPOKONYA, BARIDI BARIDI BARIDI ..........unaendelea zaidi)
 
Back
Top Bottom