Nimemuacha lakini naumia mimi

gango2

JF-Expert Member
Aug 31, 2011
1,939
2,250
ndugu zangu naombeni msaada wa kimawazo

nilikuwa na girlfriend ambaye nilimpenda sana, lakini kwa bahati mbaya nilichukuwa uamuzi wa kumuacha kutokana na kuona ananitesa sana katika mahusiano. sijawai mkuta na mvulana lakini kwakweli hakunieshimu kabisa kama mvulana, yaan muda mwingi wa maisha yangu katika kipindi chote cha mahusiano nae nilikuwa naumia kutokana na tabia yake, nimejaribu mueleza mara kadhaa bila mafanikio, pia hata kuwatumia ndugu na rafiki zake wa karibu bila mafanikio. kwa kweli nilikuwa naumia sana kwani mwenzangu alikuwa haoneshi kunijari wala kunionea huruma kama mimi nilivyokuwa kwake

tisa, kumi ni pale aliponidanganya anasafiri anaenda kufanya kazi mkoani ambapo aliniambia, huko arusha anakaa kwa mvulana ambaye amemtafutia kazi, akaniambia tena kuwa huyo mvulana aliwai mtongoza hapo nyuma. kwa kweli niliumia sana for three weeks, nilishindwa kabisa kufanya kazi 'imagine boyfriend/girlfriend wako unaempenda sana' anakuambia anakaa na mtu aliyewai mtongoza huko nyuma wawili tuu kwa muda wa zaidi ya mwezi. nilishindwa fanya kazi kabisa ofisin. mwisho wa siku nilipombana aliniambia alikuwa ananidanganya. kwa kweli niliumia sana tena sana. na nilichukua uamuzi wa kuachana nae

TATIZO/MSAADA
tatizo langu sasa ni kuwa toka nimemuacha bado naumia sana Moyoni, naona kama sijamtendea haki, yaani nashindwa nifanyenini jamani!
nilikuwa na dream nyingi sana juu yake lakini naona nateseka muda wote wa mahusiano yetu. JE NIMEFANYA KOSA KUMUACHA??

Sasa wewe unataka msaada gani zaidi ya kurudia nae au umeona sasaivi anapewa maraha na huyo jamaa yake mpya ndo inakuuma tafuta mwingine bana utaacha kuumia.

Pole sana kaka. Mimi kama mimi naona ni bora uachane nae sababu hata ka ma alikudanganya hilo kosa la mwisho yale makosa ya mwanzo bado yapo. Mapenzi ni heshima mbele kama tai na kama mpenzi wako hakueshimu basi na mapenzi ya kweli hamna pale.
Tatizo langu ni kwamba sipendi kutoa ushahuri wa kuacha kwa hio naona ni bora uongee nae tena upya, mwambie kama hujaridhika na penzi lenu na akwambie ni hatua gani atachukua kuhakikisha unakua na amani na furaha katika mahusiano yenu.
Kila la kheri....

Kama ulishamuacha, basi tafuta mwingine atakayeziba pengo lake, nadhani kinachokusumbua ni kwamba hujapata ambaye atakuridhisha kama yeye, kumbuka, ukimrudia huenda akakusumbua zaidi ya mwanzo. kuendelea kumkumbuka mtu uliyeachana naye ni utegemezi.

Stop that maaaan! u shud be strong, there so many beautful and lovely galz out there. Just find one. don' ever think again about her. Potezea.

Pole sana mkuu, i know how you are feeling right now piga moyo konde omba Mungu akusaidie upate msichana ambaye na yeye atakupenda kama unavyompenda wewe najua unapitia wakati mgumu sasa hivi jitahidi kuomba Mungu akuonyeshe njia na natumaini hali uliyonayo itaisha na utampata yule atakayekuonyesha upendo

ndugu zangu naombeni msaada wa kimawazo

nilikuwa na girlfriend ambaye nilimpenda sana, lakini kwa bahati mbaya nilichukuwa uamuzi wa kumuacha kutokana na kuona ananitesa sana katika mahusiano. sijawai mkuta na mvulana lakini kwakweli hakunieshimu kabisa kama mvulana, yaan muda mwingi wa maisha yangu katika kipindi chote cha mahusiano nae nilikuwa naumia kutokana na tabia yake, nimejaribu mueleza mara kadhaa bila mafanikio, pia hata kuwatumia ndugu na rafiki zake wa karibu bila mafanikio. kwa kweli nilikuwa naumia sana kwani mwenzangu alikuwa haoneshi kunijari wala kunionea huruma kama mimi nilivyokuwa kwake

tisa, kumi ni pale aliponidanganya anasafiri anaenda kufanya kazi mkoani ambapo aliniambia, huko arusha anakaa kwa mvulana ambaye amemtafutia kazi, akaniambia tena kuwa huyo mvulana aliwai mtongoza hapo nyuma. kwa kweli niliumia sana for three weeks, nilishindwa kabisa kufanya kazi 'imagine boyfriend/girlfriend wako unaempenda sana' anakuambia anakaa na mtu aliyewai mtongoza huko nyuma wawili tuu kwa muda wa zaidi ya mwezi. nilishindwa fanya kazi kabisa ofisin. mwisho wa siku nilipombana aliniambia alikuwa ananidanganya. kwa kweli niliumia sana tena sana. na nilichukua uamuzi wa kuachana nae

TATIZO/MSAADA

tatizo langu sasa ni kuwa toka nimemuacha bado naumia sana Moyoni, naona kama sijamtendea haki, yaani nashindwa nifanyenini jamani!

nilikuwa na dream nyingi sana juu yake lakini naona nateseka muda wote wa mahusiano yetu. JE NIMEFANYA KOSA KUMUACHA??

Achana nae huyo hakuwa wako piga konde moyo usonge mbele,achakumfikiria huyo dem fikiria uchumi wako utaupandishaje,KOMAA NA MAISHA MKUU.

Nikupe siri ya sisi wanawake.yn hta uktoa kbut hku ypo na mwngn hta haium tna unahc umepunguza mzgo,mara nyng 2najal mahucano mapya kulko lile lilokuwepo.mpk kubume ndo unarud nyuma.we jtahd umchunie bt ipo cku atakuja mwnyw.akrud mkapme kwnz zen mengne yatafata.pole,MAPENZ YANARUN DUNIA BANA

Pole sana Kaka naelewa sana unakotoka na nivigumu sana mtu kukuelewa kama hajapitia, Inaonyesha bado moyo wako haujakatamaa na yeye na unajipa moyo labda ukirudiana nae ata badili tabia,ukweli nikwamba amesha kupanda kichwani na ana uhakika 90% kama huchoi kwake,swali lakujiuliza niafadhali uteseke kwa mda utamsahau au uteseke maisha mwishi hata kazi uikose? najua nnayo kwambia sio rahisi lakini jikaze kiume huyo hakupendi kama unavyo mpenda, mwisho hata ndugu zako atakua hawaheshimu.

Pole sana best, ukweli inauma sana ila jikaze na Mungu akusaidie. Mapenzi ni pande 2 sasa kama unapenda wewe tu na mwenzio hajali si utakuwa unaumia kila siku.

Jikaze bana ndani ya muda mfupi utapona.

ndugu zangu naombeni msaada wa kimawazo

nilikuwa na girlfriend ambaye nilimpenda sana, lakini kwa bahati mbaya nilichukuwa uamuzi wa kumuacha kutokana na kuona ananitesa sana katika mahusiano. sijawai mkuta na mvulana lakini kwakweli hakunieshimu kabisa kama mvulana, yaan muda mwingi wa maisha yangu katika kipindi chote cha mahusiano nae nilikuwa naumia kutokana na tabia yake, nimejaribu mueleza mara kadhaa bila mafanikio, pia hata kuwatumia ndugu na rafiki zake wa karibu bila mafanikio. kwa kweli nilikuwa naumia sana kwani mwenzangu alikuwa haoneshi kunijari wala kunionea huruma kama mimi nilivyokuwa kwake

tisa, kumi ni pale aliponidanganya anasafiri anaenda kufanya kazi mkoani ambapo aliniambia, huko arusha anakaa kwa mvulana ambaye amemtafutia kazi, akaniambia tena kuwa huyo mvulana aliwai mtongoza hapo nyuma. kwa kweli niliumia sana for three weeks, nilishindwa kabisa kufanya kazi 'imagine boyfriend/girlfriend wako unaempenda sana' anakuambia anakaa na mtu aliyewai mtongoza huko nyuma wawili tuu kwa muda wa zaidi ya mwezi. nilishindwa fanya kazi kabisa ofisin. mwisho wa siku nilipombana aliniambia alikuwa ananidanganya. kwa kweli niliumia sana tena sana. na nilichukua uamuzi wa kuachana nae

TATIZO/MSAADA

tatizo langu sasa ni kuwa toka nimemuacha bado naumia sana Moyoni, naona kama sijamtendea haki, yaani nashindwa nifanyenini jamani!

nilikuwa na dream nyingi sana juu yake lakini naona nateseka muda wote wa mahusiano yetu. JE NIMEFANYA KOSA KUMUACHA??

wewe umezama kaka.

mzee kuna kausemi kanasema usiache mbachao kwa msalaaa..................................? YAMEKUKUTA. Pol sana!

wana JF,

nashukuruni sana kwa ushauri wenu, nimepata faraja sana na mungu awazidishieni hekima na busara,

kweli nashukuru pia kuwa katika forum ambayo napata msaada wa kimawazo

mungu awabariki sana,

ahsanteni.

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom