Nimemtumia message hii mpenzi wangu sasa hivi, nisaidieni mawazo

mchemsho

JF-Expert Member
Jun 8, 2011
3,212
867
Baby are u okay, i can't reach u thru phonecall since y'day nyt, this is not normal ,am so much worried about u my baby if ur ok or u got problem, letme knw ASAP. UPDATES; 15:20 amenipigia kwa namba nyingine amesema line yake ili block ndo anajaribua kuwasiliana na ntwk operator wai unlock.. Ua langu lol karoho keupe sasa nifanyekazi kwa ari mpya.
 
Mawazo gani sasa tukusaidie?

Ebu sikiliza wimbo huu kwanza:
 
Last edited by a moderator:
yuko mkoa tofauti na ulipo? sehemu ambayo huwezi kwenda ku-confirm alipo?
Mpenzi wako...meaning utakuwa na contacts za friends zake wa karibu au hata a few relatives that u can ask right? do that...adios.
 
mkuu niko pwani yeye yupo northern, sijajaribu kuwacheki watu wa karibu kuhofia wasione namhisi vbaya
 
Huyu atakuwa wa vikao vya harusi tu hadi saa nane we ngaa macho
 
atakua anatumia mtandao wa Tigo si bureee hivyo punguza pressure utulize ball...otherwise simu haina charge or imekwapuliwa
 
Back
Top Bottom