webondo
JF-Expert Member
- Apr 29, 2012
- 1,713
- 382
Ndugu yangu ktk mahusiano ya leo uaminifu ni kitu kigumu sana na pia imeonyesha huyo mpenzi wako sio mwaminifu ingawa nisingekushauri muachane kwa sababu hiyo kwani ukiangalia upande wa pili pia kwako hiyo haikuwa njia stahili ya kutaka kujua kama mpenzi wako ni mwaminifu au kama sio mwaminifu. Ingawa angalao njia hiyo imekupa clue kujua mpenzi wako ni mtu wa aina gani. Pia, naye hakustahili kukimbilia kwao, nadhani alitaharuki sana.Tafuteni suluhu ya kuwa pamoja tena.