Nimemtongoza,baada ya kunipa namba zake kanipa za kidume,huu ni ustaarabu?

Inawezekana hajampa simu makusudi,kwani huyo mshikaji alikujibu nini?
yaani we kujibiwa tu na dume mwenzake umeshakuwa broken heart.
 
Ningekuwa Mimi ningegeuza kibao ningemwambia jamaaa nimekuta no kwenye cm ya gf wangu we ni nani namtajia na mda niliekuwa nae class hahaha!! Ningeacha soo lakufa Mtu then dem ndio angejua kuwa mkweli.
 
Uwe unasoma mazingira ya kuchomekea kuomba namba ya simu dogo sio unakimbilia tu. tatizo la vijana wa siku izi ndo hapo tu, haraka haraka kila sehemu hata mkiwa kwenye mambo yanayotuhusu kaka zenu, basi nyie mbio mbio tu matokeo yake mnamwaga uji kabla hata sukari haijawekwa
 
Mdogo wangu we mbovu kweli. Mtu uko nae class moja unampapatikia hivyo? Hivi vitu vinahitaji muda kidogo. Alichokufanyia ni sawasawa kwa kuwa ulipelekeshwa na tamaa tu, laiti ungekuwa unampenda kweli labda ungevumilia mzoeane ndipo umwombe namba!
 
mdhaifu saaana wewe
nyie ndio mnaobaka vitoto vodogo
yaan kukaa na mtu karibu tu tayari unachafuka, utafeli chungaaa
kila siku wapo
 
safi sana. Badala ya kusoma watamani vya watu. Next time akupe namba ya tanesco emergency au polisi
Hahaha...

BT unenikumbusha mdogo wangu nae anajifanyaga kidume, alikutana na mdada akaomba namba, jioni akajifanya kumpigia amjulie hali, mara akapokea kidume afu akamwambia 'MOCHWARI' hapa tukusaidie nini? Hajasahau mpaka leo...mie nkikumbuka sina mbavu kwa vicheko....
 
Jana nikiwa class nilijikuta nashindwa kusoma baada ya kuka na mdada aliyenivutia kimapenzi.

Sikuficha hisia zangu kipindi kikiwa kinaendelea nikamweleza kwamba ukaribu wake pamoja nami umeniwekea kikwazo kwa kutomsikiliza lecturer.Nikamwomba namba kisha aka-ahidi baada ya kipindi angenipatia.

Ni kweli alinipatia,nilipopiga kumjulisha namba zangu na kutaka kujua rum namba yake nikakuta simu inapokelewa na Mchizi na si yeye.Je huu ni ustaarabu?

Wacha kutongoza kwa SIMU,Shule si anakuja?,mpe live uso kwa uso,watoto wa siku hizi bwana?
 
Jana nikiwa class nilijikuta nashindwa kusoma baada ya kuka na mdada aliyenivutia kimapenzi.

Sikuficha hisia zangu kipindi kikiwa kinaendelea nikamweleza kwamba ukaribu wake pamoja nami umeniwekea kikwazo kwa kutomsikiliza lecturer.Nikamwomba namba kisha aka-ahidi baada ya kipindi angenipatia.

Ni kweli alinipatia,nilipopiga kumjulisha namba zangu na kutaka kujua rum namba yake nikakuta simu inapokelewa na Mchizi na si yeye.Je huu ni ustaarabu?

Pumbavu,nyie ndio mnalalamika bumu alitoshi kumbe manaenda kufanyia ufuska na umalaya...baba yako na mama yako wanategemea unasoma kumbe unaendeleza umalaya huko...nyie ndio mnasababisha hii nchi inakuwa ya wapumbavu,watu wanaopenda ngono na umalaya hata mawazo yao yanadumaa,maana kuna uhusiano wa karibu kati ya wapenda ngono na umaskini wa Taifa hili.........Pumbavu!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom