Nimemtongoza,baada ya kunipa namba zake kanipa za kidume,huu ni ustaarabu?

CHIPANJE

JF-Expert Member
May 1, 2011
321
53
Jana nikiwa class nilijikuta nashindwa kusoma baada ya kuka na mdada aliyenivutia kimapenzi.

Sikuficha hisia zangu kipindi kikiwa kinaendelea nikamweleza kwamba ukaribu wake pamoja nami umeniwekea kikwazo kwa kutomsikiliza lecturer.Nikamwomba namba kisha aka-ahidi baada ya kipindi angenipatia.

Ni kweli alinipatia,nilipopiga kumjulisha namba zangu na kutaka kujua rum namba yake nikakuta simu inapokelewa na Mchizi na si yeye.Je huu ni ustaarabu?
 
Huyo chizi aliipataje simu yake au aliiokota?

Afu huyo chizi atajuaje kutumia simu?
 
Jana nikiwa class nilijikuta nashindwa kusoma baada ya kuka na mdada aliyenivutia kimapenzi.

Sikuficha hisia zangu kipindi kikiwa kinaendelea nikamweleza kwamba ukaribu wake pamoja nami umeniwekea kikwazo kwa kutomsikiliza lecturer.Nikamwomba namba kisha aka-ahidi baada ya kipindi angenipatia.

Ni kweli alinipatia,nilipopiga kumjulisha namba zangu na kutaka kujua rum namba yake nikakuta simu inapokelewa na Mchizi na si yeye.Je huu ni ustaarabu?

Ndiyo ukome kudandiadandia wanawake hovyo hovyo. Unadhani kila mwanamke ni malaya? Jaribu kuwaheshimu wanawake. Hao ni mama zetu
 
Jana nikiwa class nilijikuta nashindwa kusoma baada ya kuka na mdada aliyenivutia kimapenzi.

Sikuficha hisia zangu kipindi kikiwa kinaendelea nikamweleza kwamba ukaribu wake pamoja nami umeniwekea kikwazo kwa kutomsikiliza lecturer.Nikamwomba namba kisha aka-ahidi baada ya kipindi angenipatia.

Ni kweli alinipatia,nilipopiga kumjulisha namba zangu na kutaka kujua rum namba yake nikakuta simu inapokelewa na Mchizi na si yeye.Je huu ni ustaarabu?

Sasa wewe unakaa na mtu tu karibu unamtamani hapo hapo na kumpenda hapo hapo...mmmh sijui utawapenda wangapi wewe.Pia hayo ndo matatizo ya kusoma shule zisizo mchanganyiko maana kama ungesoma shule mseto ungeisha wazoea kitambo sana hata akivua nguo hapo poa tu.Kaza moyo wako dogo piga shule huyo siyo last born wapo sana na sanaa na wataendelea kuwepo sanaaa..:focus:SOMA KWA BIDIIIIIII
 
Wewe unataka kuliwa kichwa, badala ya kukomalia masomo unawaza tu ngoma!
 
Jana nikiwa class nilijikuta nashindwa kusoma baada ya kuka na mdada aliyenivutia kimapenzi.

Sikuficha hisia zangu kipindi kikiwa kinaendelea nikamweleza kwamba ukaribu wake pamoja nami umeniwekea kikwazo kwa kutomsikiliza lecturer.Nikamwomba namba kisha aka-ahidi baada ya kipindi angenipatia.

Ni kweli alinipatia,nilipopiga kumjulisha namba zangu na kutaka kujua rum namba yake nikakuta simu inapokelewa na Mchizi na si yeye.Je huu ni ustaarabu?

Kijana haupo serious....!! Yaaani huyo mdada ni mstaarabu sana...otherwise ingekuwa mitaa ya kwetu kule,angewaita na mashoga zake wakusute usivyokuwa na haya...#Nonsense
 
huyu anafuata ushauri wako ulioutoa kwa watu below 30, anataka afyagie wote kabla hajafikwa na uzeee, teh teh teh teh

Kama ndio hivyo basi jamaa kapitiliza wenzake wanacheza kwa step bana...sio anaenda anaenda tu,ataumia vidonda visivyopona...ohoooooo!
 
Ha ha ha ha
Amekukomesha kweli aisee, alafu ukikurupuka hapo asubuhi ni mgomo kwenda mbele! unadhani hiyo pesa unayopewa hapo itakutosha kama ndio hivyo?
Badala ya kusoma unawaza binti yuko room gani! Hata Lecture humsikilizi kisha akitangaza Test una organise mgomo fasta, soma wewe dogo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom