Nimemtolea nje shugamami!

si kwamba unatuzuga na unatafuta umaarufu kweli

Kuna jimama moja apa mtaani limekuwa likarimu sana kwangu hata akisafiri nyumba yake ananiachia mimi,zawadi kibao,na mkwanja ananiachia,jana ndo kafunguka eti ananipenda ikanibidi mtoto wa kiume nimpe live kama simuhitaji loooooh!alichoka.
 
Ilivyo mwanaume akimkataa mwanamke kimapenzi basi jamii huhisi kuwa hayuko sawa.. Utachekwa mkuu!!!
 
Ubwege huo wewe hao wamama wanakuaga watamu kinoma kama vp mlengeshe kwangu uone....
 
Kuna jimama moja apa mtaani limekuwa likarimu sana kwangu hata akisafiri nyumba yake ananiachia mimi,zawadi kibao,na mkwanja ananiachia,jana ndo kafunguka eti ananipenda ikanibidi mtoto wa kiume nimpe live kama simuhitaji loooooh!alichoka.

we vipi,unalalamika daily humu kwamba puli inakuua,sa si ungelikubalia upone?
 
Back
Top Bottom