Nimemteua Kigarama...

Mphamvu

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
10,702
3,288
Najua mlinimiss... Here I am!
Mimi ambaye ni acting rais wa Chit-Chat (usiniulize nimechaguliwa na nani), natangaza rasmi uteuzi wa huyu member View Profile: Kigarama - JamiiForums | The Home of Great Thinkers kuwa mleta taarifa za siasa humu kwenye jukwaa letu.
Nimepokea malalamiko yenu mengi kuhusu mahudhurio yetu finyu kule kwenye jukwaa la siasa, sababu kubwa ikiwa ni maandishi ya kule kutoeleweka. Utakuta ukurasa mzima wa thread una post tano tu kutokana na urefu wa post zao kama filimu ya kihindi, sisi yametushinda hayo.
Kwa vile mimi ni rais msikivu, nimeyasikia madai yenu. Kwa vile Kiggy ni Multi-agent, anaweza kuchukua taarifa kule JS na kuzileta humu katika namna inayotufaa na yeyote akatoa comment yake kwa namna anayoona inafaa bila kuambiwa 'cr.ap' au 'up.upu'.
Uteuzi huu una-take effect sasa hivi usomapo post hii!
 
Duh!! Yale mambo ya uchadema na uccm tayaache kulekule ndugu!! Huku ni kujirusha kwa kwenda mbele.
 
Rais, naona uteuzi wako umepingwa na Mteuliwa mwenyewe.. what's next?
 
Mh. Rais,
Na mie nikinunua Mikasi ya kukatia utepe, kiasi cha kama mikasi ya Tsh 2 Ml. Unaweza kunifikiria umakamu ?
Nakuahidi kukuwakilisha kukata mautepe kwenye maufunguzi ya Mahafla , Makongamano , hata Nusary school mi siachi , na pia Misibani na Maharusini, wewe kama Rais unaweza ukaweka sheria kuwe na kukata utepe ili makamu wako awe bussy !
Natangaza Nia.
 
Alitaka nigombane na visura wa humu waliozoea chit chat!!
 
Alaaa kumbe ! Umemstukia , na kweli Samaki hafunzwi kuogolea !
Na ikibidi kumfundisha lazima umfundishie kwenye maji.
Nchi kavu mafunzo kwishynehi .
 
Wenyewe wameshazoea kuulizana "nani handsome kati ya yule na huyu" halafu uanze kuwaletea hoja za "kwa nini Kikwete asipunguze ukubwa wa serikali yake?" HUJITAKI?

mphamvu, ninatengua huo urais kuanzia sasa.
Tutafanya uchaguzi kabisa, mie sikubali.
Ila suala la kiggy kuwa bridge ya CC na JS nauunga mkono
ataapisha baada ya uchaguzi wa rais kufanyika.
 
mambo konnie?
 
Duh!! Yale mambo ya uchadema na uccm tayaache kulekule ndugu!! Huku ni kujirusha kwa kwenda mbele.

andika barua rasmi ya kupinga uteuzi wangu, huwezi kumjibu bosi wako kwenye thread. Ni utovu wa nidhamu...
 
mphamvu, ninatengua huo urais kuanzia sasa.
Tutafanya uchaguzi kabisa, mie sikubali.
Ila suala la kiggy kuwa bridge ya CC na JS nauunga mkono
ataapisha baada ya uchaguzi wa rais kufanyika.

we leta jeuri tu?
Na katiba ya JF itabadilishwa ili kuniwezesha nigombee kipindi cha pili, na atakaeandamana PAW yupo kwa ajili yake.
 
Mh. Rais,
Na mie nikinunua Mikasi ya kukatia utepe, kiasi cha kama mikasi ya Tsh 2 Ml. Unaweza kunifikiria umakamu ?
Nakuahidi kukuwakilisha kukata mautepe kwenye maufunguzi ya Mahafla , Makongamano , hata Nusary school mi siachi , na pia Misibani na Maharusini, wewe kama Rais unaweza ukaweka sheria kuwe na kukata utepe ili makamu wako awe bussy !
Natangaza Nia.

naanza kukufikia, naona huyu mteule analeta kitu kujua.
Sasa hivi nitakinukisha...
 
mphamvu, ninatengua huo urais kuanzia sasa.
Tutafanya uchaguzi kabisa, mie sikubali.
Ila suala la kiggy kuwa bridge ya CC na JS nauunga mkono
ataapisha baada ya uchaguzi wa rais kufanyika.
Kongosho unajua anayeua kwa upanga naye uuawa kwa upanga? Umempindua Mphamvu na wewe jua iko siku utapinduliwa!!
 
naanza kukufikia, naona huyu mteule analeta kitu kujua.
Sasa hivi nitakinukisha...

Umeshapinduliwa mzee watu wanampigia saluti Kongosho na wewe umeshatangazwa kuwa ni mhaini!! Hama jukwaa kajifiche kwenye jukwaa la lugha kule hakuna wanaa!!
 
eti kumpa ufagiaji wa ikulu tu, anataka kujipa cheo.
Huyu si wa kupa lifti atang'angalania kukata kona bure

Back
Top Bottom