Nimempenda Msichana wakati nimeshaoa.

Mimi nimeoa miaka 3 iliyopita, lakini imetokea sina hamu na Mke wangu, badala yake ninampennda sana sana na ninatoka na Msichana mwingine. Sijui nifanyeje! Natamani kweli kupata ushauri wa jinsi ya kumwacha huyu dada.... Kila nikijaribu kumwacha nashindwa, akinitext tu nakuomba tutoke naingia line. .. Hata leo anataka nikampe dozi... JJamani nisaidieni!:eyebrows::eyebrows:

Kuna category mbili hapa, mwanaume na gumegume, sasa wewe upo category ipi?
 
kaka acha tamaa, kila kizuri uwe nacho wewe tu?hapo ungefanyiwa wewe ungependa? mwanaume wa ukweli hawezi ati akamchoka mkewe kwa 3yrs! wewe inaonekana bado hujamaliza starehe zako na ukaingia kiherehere cha kuoa..au ulifuata mkumbo! kumbuka hapo unapomega huyo dada mkeo hakuoni na wewe unajiona mjanja, kumbuka kila wakati kuwa MUNGU WAKO ANAKUONA na anakuandalia balaa lako huko....kaa chini, jifikirie sana na kumbuka kuwa duniani hapa tunapita na starehe ndio zinazidi kuwa mpya kila kukicha...acha tamaa tulia na mkeo na utubu! huna hata haya kuleta tamaa zako hapa!
 
huyo mdada anafahamu kama unamke?

Huyo mdada kujua jamaa ana mke au hana si ishue,kosa nila huyu bwana anayejua anamke then anakaribisha mtu mwingine katika moyo wake.Kama unamke kweli unajua unachotakiwa kufanya na ungemshirikisha mkeo kwanza kabla yetu sisi.Mambo ya kwenye ndoa ukiyatoa nje ni tatizo.Huna uaminifu kwa mkeo.Huyo dada hajakuteka na kukulazimisha,kila kitu unachofanya unakifikiria kabla ya kutenda,so to save my time and energy unajua unatakiwa kufanya nini.Kama huwezi mshirikishe mkeo uone,siku moja tu huyo dada hakusumbui tena.Most of the solution to our problems are within us.
 
Dawa yake ni ndogo dogo, iliwahi kunitokea na niliitibu kihivi ....
Mwambie kuwa wewe ni mume wa mtu; hivyo na yeye ajitahidi aolewe; then ndo muendelee na mahusiano, ili kila mmoja awe akimsaliti mwenza wake wa nyumbani. Utanipa majibu.
 
hakuna cha msaada hapo kimsingi kula mema ya nchi...tatizo ndoa zina stress sana siku hizi so ukipata pa kuweka moyo weka na kule home wekeza akili

umenena mkuu, unakuta nyumbani haupewi kiasi cha kukidhi kiu yako,au fujo kila siku,mdada yeye ukiwa nae anakupa mpaka unasema basi tena kwa roho safi.cha msingi hapo ni kutokusahau home.watoto waende shule,wale vzuri na kuvaa vzuri.mamayao pia usimsahau.
 
Unayajua mapenzi yalivyo na nguvu?Huwezi kuwahudumia mabwana wawili,lazima utampendelea mmoja."You can choose your actions but you can not choose the consequences of your actions".
 
du kama ndoa zenyewe ndio hizi,ni bora uwe mwenyewe tu

Bora kuendelea kuzini tu ama siyo? Kwani usipoelewa ama kuoa hufanyi hivyo? kama hufanyi hivyo ni bora kuwa peke yako na lakini kama unafanya basi which is which? ama ni bora kubaki bikira milele
 
Unayajua mapenzi yalivyo na nguvu?Huwezi kuwahudumia mabwana wawili,lazima utampendelea mmoja."You can choose your actions but you can not choose the consequences of your actions".

sio kweli,watu wangapi tumewaona wana familia zao na wanawahudumia fresh tu,tena mama kubwa anakuwa ajui.with men we can but wanawake hawawezi ku serve two masters.
 
sio kweli,watu wangapi tumewaona wana familia zao na wanawahudumia fresh tu,tena mama kubwa anakuwa ajui.with men we can but wanawake hawawezi ku serve two masters.
Wadada/wamama ni kweli hamuwezi kuserve two masters?@Crucial Man experience zinaonyesha wanume si wazuri ktk kucheat ukilinganisha na wanawake,I mean wanagundulika mapema.Ngoja tuwasikie wanasemaje.
 
Mimi nimeoa miaka 3 iliyopita, lakini imetokea sina hamu na Mke wangu, badala yake ninampennda sana sana na ninatoka na Msichana mwingine. Sijui nifanyeje! Natamani kweli kupata ushauri wa jinsi ya kumwacha huyu dada.... Kila nikijaribu kumwacha nashindwa, akinitext tu nakuomba tutoke naingia line. .. Hata leo anataka nikampe dozi... JJamani nisaidieni!:eyebrows::eyebrows:
lazima amekuwekea silangambe lakini si wewe pekee ipo mijianaume dizaini hiyo mingi tu , ila kwani when you were marrying that wife of yours she was all you wanted isn't ? asa unajiendekeza ohh shetani alinipitia wakati mwingine mnamsingizia shetani kwani ukiamua kumuescape itakwaje eeh acha hizo bana tulia na wako sikia kengele HAKI ELIMU ,usiendekeze ngono utaumia ohh by the way DID YOU KNOW GOD IS ALSO THERE WATCHING YOU DOING SEX WITH THAT GAL WHO ISN'T UR WIFE ? you don't feel guilty kabsaa? afu ukifika home mke wangu nakupenda Ee Mungu wamulike hawa viumbe wote wa wanaume kwa wanawake manake hiki ni kizazi cha ngono watu gulity consicous ilishakufa zamani kila wanachofanya wanaona ni sawa tu . waga unasali na mkeo lakini ? manake nayo huwa inasaidia kumuepuka huyo shetani ambae sometimes mnamsingizia
 
kaka acha tamaa, kila kizuri uwe nacho wewe tu?hapo ungefanyiwa wewe ungependa? mwanaume wa ukweli hawezi ati akamchoka mkewe kwa 3yrs! wewe inaonekana bado hujamaliza starehe zako na ukaingia kiherehere cha kuoa..au ulifuata mkumbo! kumbuka hapo unapomega huyo dada mkeo hakuoni na wewe unajiona mjanja, kumbuka kila wakati kuwa MUNGU WAKO ANAKUONA na anakuandalia balaa lako huko....kaa chini, jifikirie sana na kumbuka kuwa duniani hapa tunapita na starehe ndio zinazidi kuwa mpya kila kukicha...acha tamaa tulia na mkeo na utubu! huna hata haya kuleta tamaa zako hapa!
dah
Jamiif dah kazi kweli hapo kwenye red kweli hichi ni kizazi cha ngono live asa si imeandikwa kwenye bible na asiyeweza kuzizuia tamaa zake za mwili na aoe ili asiwe mzinzi wala muasherati kumbe nyie mijianaume ku taste bucha tofauti afu at the sametime unataka msichana wa kuoa bikra baada ya kutaste bucha tofauti , dah tutasalimika kweli ndo unakuwa umemaliza starehe hivyo unakuwa tayari kwa kuoa Ee Mungu shuka
 
Mie mwanaume hasa akisema mambo kama hayo ananichefua roho yangu!! kama uwezo unaruhusu na dini inaruhusu sasa unaiba nini au ushazowea vyakunyoga wewe vyakuchinja huviwezi? inaonyesha bwana weye uzinzi unauendekeza lakini kumbuka kua ulie muoa nae pia ni mtoto wawatu A .K. A. Mkeo jee akifanyiwa mwanao wakike hayo unayo yafanya wewe utapendelea?
hivi ok sawa kweli hivi unapooa mke wa pili ni ishara kwamba mke wa kwanza ana weakness flani si ndio , afu mke mkubwa anajisikiaje atii dah mii moyo wangu mdogo kama sisimizi nahisi ntakufa uwiii Sheikh tulia na mkeo please usijiendekeze bana
 
Mimi nimeoa miaka 3 iliyopita, lakini imetokea sina hamu na Mke wangu, badala yake ninampennda sana sana na ninatoka na Msichana mwingine. Sijui nifanyeje! Natamani kweli kupata ushauri wa jinsi ya kumwacha huyu dada.... Kila nikijaribu kumwacha nashindwa, akinitext tu nakuomba tutoke naingia line. .. Hata leo anataka nikampe dozi... JJamani nisaidieni!:eyebrows::eyebrows:

Huyu ni Shetani unahitaji maombi mpendwa,nenda kanisani kaombewe.

Suluhu ya matatizo ya ndoa yako na mke au matatizo ya ndani si kutafuta kipoozeo nje. Siku zote "kipya kinyemi hata kama ni kidonda" sasa basi hakuna namna ambayo hawara yako kwa kuwa ni mpya atakuwa mbaya mbele zako hasa kama una hela. Ukishaishiwa kwa hawara ndipo unaona mke wako ni mzuri!!! Wengi wamelizwa ila wanameza kimya kimya. Pia hawara naye kuna siku mtazoeana na atachuja so unatafuta hawara mwingine and the chain goes on!!! Sasa wewe ndugu yangu huu mtandao wa ngono utauweza!!! Kwa takwimu za sasa maambukizi ni 10% it means every 10 people one is a victim and among hundred people tena are victims!!! Na hii rate ni average, mikoa mingine kama Iringa na Mbeya incidence is higher than 10% sasa unasemaje hapa!!! Wewe ponda raha kufa kwaja na binti na ukirudi kwako jioni usiku anaingia mwanaume mwenzio anakuja kulala anapikiwa na kutunzwa na hela ya matumizi unayoachia kimada!!! Tulia na ndoa yako, ndoa inahitaji kujengwa kila siku iitwayo leo. Ukidharau hili mwiba utakuota mguuni siku si nyingi na utaanza kusingizia eti mbavu zinabana Neumonia kumbe umeshaukwaa na vidudu vinasheherekea mapafu yako!!! Sema LIWALO na LIWE, ngono nje ya ndoa basi!!!!! Walioathirika wanajuta na wanatamani wangekuwa wazima ila haiwezekani tena!!! Maji yakishamwagika hayazoleki tena!!!
 
Heshimu ndoa yako pia jaribu kubadili mfumo wa maisha na mkeo. Kwa mfano ishi nae kama kipindi kilwe mnadate, outing nyingi, beach, funny places, meet frnds, dinner in differnt places dat u ar new, make her look happy and new to you bro.
That works, pia mwambie to upkeep herself....yeyooooo!!
 
umenena mkuu, unakuta nyumbani haupewi kiasi cha kukidhi kiu yako,au fujo kila siku,mdada yeye ukiwa nae anakupa mpaka unasema basi tena kwa roho safi.cha msingi hapo ni kutokusahau home.watoto waende shule,wale vzuri na kuvaa vzuri.mamayao pia usimsahau.

Umenena vema mkuu maana ndoa siku hizi tunaingia kutimiza wajibu tu ila raha halisi ya ndoa ishachakachuliwa.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom