Nimempenda, kishatolewa posa...

mwalukoGson

New Member
Oct 22, 2012
2
0
Ndugu
zangu naomba ushaur nimempenda mwanamke ambae tayar amekwisha tolewa
posa,nae ananipenda sana n yupo tayar kuachana na jamaa ili awe nami
ingawaje ndiye anaemhudumia gharama za chuon,je niendelee nae au
nimpotezee......!
 
Unamuuliza nani? Ili uje kumlaumu?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ndugu
zangu naomba ushaur nimempenda mwanamke ambae tayar amekwisha tolewa
posa,nae ananipenda sana n yupo tayar kuachana na jamaa ili awe nami
ingawaje ndiye anaemhudumia gharama za chuon,je niendelee nae au
nimpotezee......!

Wewe unastahili kitu namna hii, manna zako..

punching.jpg
 
ndugu
zangu naomba ushaur nimempenda mwanamke ambae tayar amekwisha tolewa
posa,nae ananipenda sana n yupo tayar kuachana na jamaa ili awe nami
ingawaje ndiye anaemhudumia gharama za chuon,je niendelee nae au
nimpotezee......!

usizini
 
kama unaweza kubeba majukumu ya jamaa endelea naye japokuwa kuinvest kiivyo kwa mwanamke ni very risk mkuu....akili kumkichwa...
 
Ndugu
zangu naomba ushaur nimempenda mwanamke ambae tayar amekwisha tolewa
posa,nae ananipenda sana n yupo tayar kuachana na jamaa ili awe nami
ingawaje ndiye anaemhudumia gharama za chuon,je niendelee nae au
nimpotezee......!

muke ya mutu ni sumu usijetu na uzi umepakatwa kisa muke ya mutu toka nduki hakuna kupendana hapo kheee wewe kijana una hatari wewe...
 
Mwachie jamaa yake acha laana. Huyo dada anaptia majaribu na jaribu lenyewe n wewe. Apo unamuua mwenzako kiroho maana bidada tunavojijua atamfanyia vitimbi ili amuache. So 'umuwache bibie na mchumbake we Tafuta wako' imagne ungefanyiwa wewe how wud u feel?!
 
Huwezi kuwa na mwanamke ambaye anagharamiwa na mwanaume mwingine,unaujua uchungu wa gharama?Tena huyo mwanamke ni kicheche full mala.......maana haiwezekani atolewe posa na kukubali then aje kubadilika.

Huyo siku moja jua kuwa atakuja kukutosa na wewe pia akipata mwingine hapo baadae,achana nae tafuta mahali pengine penye utulivu
 
Mie naona unatikisa kibiriti amfu unaogopa kisikulipukie, unacho fanya ni dhambi kubwa na ungekua huku kwetu unge fanywa vibaya
 
Ndugu
zangu naomba ushaur nimempenda mwanamke ambae tayar amekwisha tolewa
posa,nae ananipenda sana n yupo tayar kuachana na jamaa ili awe nami
ingawaje ndiye anaemhudumia gharama za chuon,je niendelee nae au
nimpotezee......!

Yaelekea kilichokuingiza humu ni jambo hilo tu!! Ila kumbuka ukimtendea mwenzio hivyo nawe utatendewa mara mbili zaidi. Achana naye huyo pepo.
 
Hama huko na tafuta kwingine, siyo kila ukipendacho kinakustahili au nh lazima ukipate!
 
Jione mjanja kumpora mwenzio, zamu yako na wewe itafika hivyo vi umatemate vyako vinakuchanganya vikate.... ndo utajua huyo mwanamke mzuri au vipi.
 
kwanza huyo demu sio mkweli...yupo na jamaa kimaslahi zaidi.
sasa mie naona kama vipi wee endelea nae huku unaendelea kutafuta demu mwengine. huyo ni wa utamu yuu zio wakuweka ndani kaka.
 
Back
Top Bottom