Nimempenda girl wa humu JF.

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,228
Jamani nimejikuta nampenda girl mmoja humu JF,kumweleza ndo ishu mana naogopa haya majina yanaweza yasiwe ya kike.
 
Excellent....unaanzisha mada ngapi kwa siku?? weee mkareeeeeee!:dance:
 
hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ndio maana ukaleta ile thread ya kumpenda mtu ambaye humfahamu hujawahi kukutana naye....?
 
Excellent:
Be brave,and share the secret ! Si unajua tena wasemavyo"Problems shared are problems halved" :tonguez:.
 
Excellent:
Be brave,and share the secret ! Si unajua tena wasemavyo"Problems shared are problems halved" :tonguez:.
Akinitosa nitaona JF kuchungu we,utafanyaje kama ni wewe
 
Jamani nimejikuta nampenda girl mmoja humu JF,kumweleza ndo ishu mana naogopa haya majina yanaweza yasiwe ya kike.

Yaani nilipoona uzi wako hapa nikajiuliza Dah! why all this threads... kumbe you are seeking attention... sasa nimekupata... Hope it works out.
 
Yaani nilipoona uzi wako hapa nikajiuliza Dah! why all this threads... kumbe you are seeking attention... sasa nimekupata... Hope it works out.
Asha D,hahahahhahahahahaa usije ukaja kutosa hayse
 
wala usijali kutoswa,mie mbona nimetoswa na mmoja wa humuhumu.maisha yanaendelea.ila nimekoma
 
Back
Top Bottom