Nimempata humuhumu jf..Amenikoleza

kwani we jinsia gani?mana id yako lina utata mtupu

Kazi kwelikweli.. kinacho wazuzua hapa ni nn? mbona iko wazi mpendwa, kuna waliosema wanataka kumjua huyo wifi yao na wengine wanasema niutunze usichana wangu. Lol.. It seems kila mtu anamaono yake juu ya jinsia yangu.
 
Sasa hapa si mtakua mnajitambulisha wenyewe kwa wenyewe?
Maana ID yako sio jina lako, na yake sio jina lake. Kila kitu siri
Humu couples zinazaliwa na kufa kila kukicha bila watu kuonana
Kama kweli mko serious si mkatambulishane kwa wazazi basi?
jamani da mwali usimkatishe tamaa labda yy wako mno serious than we think
 
Hayo unayosema tayari yamefanyika kwa 65% ninachotaka kwa kutumia ID zetu hizihizi mnazozifahamu mpate kujua kuwa tupo pamoja
kama mshafikia 65% ni vema mana utaishia kutambulishana hapa JF lkn anakuja kuolewa mwingine utajutajeeeeee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom