- Thread starter
- #141
huna mapenzi ya dhati kwa huyo binti bali unamuonea huruma na kuepuka kuwa mkatili.
Maj, unachokisema ni sahihi, najua kwamba pengine sina mapenzi makubwa sana kwa huyo binti lakini bado si kwamba namchukia kiasi cha kushindwa kuishi naye. Ndo mana nikakubaliana na baadhi ya wanajamvi walioshauri kujifunza kumpenda labda niongeze neno "kwa dhati".
Hili pia litaondoa ukatili na maisha magumu yenye majuto ambayo huenda mwanangu akaja kuishi ama kulelewa na baba wa kambo au mama wa kambo hivyo kuteswa na kunyanyaswa pengine kwani wengi mnajua hawa watu baadhi yao (si wote) walivyo.