Nimemnyang'anya 'beki tatu' simu, je nimekosea?

Simu ni kwa ajili ya mawasiliano ya kujenga na sio kubomoa. Au unadhani kwa kuwa Mungu amekupa hicho kinaniii chako basi ndo ukitumie tu hovyohovyo hata kwa matumizi yasiyo na maadili? Au tuseme ukimuweka mlinzi akulindie mali zako basi ni ruhusa yeye kukuibia?

Mhhh! Nadhani huu mfano uliotumika hapa hauna uhusiano na mada. Umesema simu ni ya kwake na kiboksi manyoya ni cha kwa kwake sasa mali ulizokuwa unaibiwa wewe ni zipi? Kama alikuwa anavi-entertain hivyo vivulana kwa kuvipa chakula na vinywaji kwa gharama zako sawa.
 
sikubaliani na kitendo cha housegirl kuleta vivulana vyake nyumbani kwako, atakuharibia watoto, nakumbuka wakati nikiwa mdogo housegirl alikua anatufungia balcon yeye anajirusha ndani, kama hatujala mchana huo imekula kwetu!! tukianguka tukaumia imekula kwetu, ila nashukuru sikujua wakitufungia huko wao ndani wanafanya nini la sivyo mmmmmh.

lakini pamoja na yote hayo mrudishie huyo binti simu yake, asije zidiwa mihemko akamwinda
baba watoto wako. lakini kabla hujamrudishia ni vyema ukazungumza nae umwambie ukweli hutaki vivulana vyake hapo, na ukimfuma nao tena hiyo ajira ndo bye bye, mweleza madhara ya mapenzi bila kinga na ajue akinasa hana lake hapo, maana kama ana umri wa miaka 25 huyo ni mtu mzima kama ana akili atashika maneno yako, meanwhile uwe unarudi home mara kwa mara mida tofauti msuprise ucheki anafanya nini.

Hujala za uso kweli kutoka kwa mhishimiwa Ndyoko ka kile kiboifulendi???:focus:
 
Masikini_Jeuri; yaelekea limekugusa sana hili mkuu ndio eneo la mawindo yako nini..................

Wote mnaomsakama huyu mnatambua kuwa pamoja ni kuwa mfanayakazi lakini akishakuwa ndani ya nyumba anahesabiwa kama mtoto wa familia? hebu chukulia ni binti yako....................ungechukua hatua zipi?
Hapo kwenye blue mkuu ndo watu tunapishana. Hata kama siyo kumpiga, moja wapo ya adhabu ni kumuondolea privileges-simu. Kama jamaa ulishamkalisha na bado analeta vijana ndani nadhani naye pia atakuwa amemkosea heshima jamaa. Sidhana kwa kuwa ni binti mkubwa wa wa kuwa na b/friend basi nyumbani kwa jamaa ndo liwe genge la kukutania na hao vijana. Kwa vile ni H/girl watu wanasema hujamtendea haki, akiwa binti yako ndo analeta wanaume ndani sidhani kuna mtu angepinga kumchukulia hatua.
 
Mhhh! Nadhani huu mfano uliotumika hapa hauna uhusiano na mada. Umesema simu ni ya kwake na kiboksi manyoya ni cha kwa kwake sasa mali ulizokuwa unaibiwa wewe ni zipi? Kama alikuwa anavi-entertain hivyo vivulana kwa kuvipa chakula na vinywaji kwa gharama zako sawa.

red and bolded: Aisee akili yako bado sana, hapo ndo umeongea nini sasa?
 
angekua ni binti yako mwenye umri wa miaka 25 kama huyu hgeli ungemtandika vibao bf wake?
mwenye binti hakosi mkwe,kama ww umemuoa mkeo na binti zako pia wataolewa tu!

Masikini_Jeuri; yaelekea limekugusa sana hili mkuu ndio eneo la mawindo yako nini..................

Wote mnaomsakama huyu mnatambua kuwa pamoja ni kuwa mfanayakazi lakini akishakuwa ndani ya nyumba anahesabiwa kama mtoto wa familia? hebu chukulia ni binti yako....................ungechukua hatua zipi?
Hapo kwenye blue mkuu ndo watu tunapishana. Hata kama siyo kumpiga, moja wapo ya adhabu ni kumuondolea privileges-simu. Kama jamaa ulishamkalisha na bado analeta vijana ndani nadhani naye pia atakuwa amemkosea heshima jamaa. Sidhana kwa kuwa ni binti mkubwa wa wa kuwa na b/friend basi nyumbani kwa jamaa ndo liwe genge la kukutania na hao vijana. Kwa vile ni H/girl watu wanasema hujamtendea haki, akiwa binti yako ndo analeta wanaume ndani sidhani kuna mtu angepinga kumchukulia hatua.
 
mkuu mi nadhani kwa upande flani upo sawa kama unayosema ni kweli kuwa umeshamuonya khs kamchezo kake kwa maana ni makosa sana yey kufanyia kamchezo kake ndani kwako na hao wanaokulaumu wakumbuke nyumba yako c gest
 
Back
Top Bottom