Nimemiti na rafiki yangu wa humu lakin daah

Mankaa

Senior Member
Jan 21, 2012
156
49
Habari zenu wana jr..i hope mnaendelea vyema na ujenz wa Taifa

jaman me nmekuja hapa cjui nielezee vipi lakini kikubwa ni kuwa nimemiti na rafiki yangu wa humu jamii forums ni HB alafu kuna vitu flan flan nmevipenda kwake alafu ni mchesh mby kitu ambacho ndo nmevutiwa nacho saana na kwa ujumla binafsi nimevutiwa nae sana tumepeana kampany sana tuu na nliinjoy sana naye pia kaonyesha kunpenda na kwa jinsi nnlivyomsoma hana girl ambae amejicomit kwake kikubwa kinachotaka kujitokeza ni kuwa najifill nataka kumpenda sana ukizingatia me teyar nna Boyfrind
wapendwa nishaurini nifanyaje nsije nkalikoroga kwa mpenz wang
 
Usitupe chembachao kwa msala upitao. Fikiria mara mbili maamuzi yako usije kujilaumu wewe mtu umemuona siku moja umejuaje kama ni mwema kwako mimi sikushauri endelea na urafiki tu. Tena anaweza kuwa rafiki mwema kuliko mkiwa wapenzi.
 
Nyimbo ya taifa haichezwi disco,cku moja2 ushatamani kumbwaga boyfrnd wako?kwahlo cna iman tena na mpnz wngu kumbe wanawake ndo mlvo?
 
mhm naona wameshaanza kuonyesha dalili lakin km vipi wapotezee bna
 
Wazuri wapo wengi,utajikuta unarukaruka kama kitenesi..sikia kengele ngrrrrrrr...tulia na wa kwako.!!unaweza kumfanya awe vile upendavyo,dont focus much on ready made coz there is cost behind...
 
Nyimbo ya taifa haichezwi disco,cku moja2 ushatamani kumbwaga boyfrnd wako?kwahlo cna iman tena na mpnz wngu kumbe wanawake ndo mlvo?

Alokwambia keshataman kumbwaga byfrnd nani kama huna iman na mpnz wako bas hujiamini
 
Wazuri wapo wengi,utajikuta unarukaruka kama kitenesi..sikia kengele ngrrrrrrr...tulia na wa kwako.!!unaweza kumfanya awe vile upendavyo,dont focus much on ready made coz there is cost behind...

mhm soma maaelezo yangu vizuri hujanielewa
 
Usitupe
chembachao kwa msala upitao. Fikiria mara mbili maamuzi yako usije
kujilaumu wewe mtu umemuona siku moja umejuaje kama ni mwema kwako mimi
sikushauri endelea na urafiki tu. Tena anaweza kuwa rafiki mwema kuliko
mkiwa wapenzi.
We muache ateme big G kwa karanga za kuonjeshwa
 
Usitupe chembachao kwa msala upitao. Fikiria mara mbili maamuzi yako usije kujilaumu wewe mtu umemuona siku moja umejuaje kama ni mwema kwako mimi sikushauri endelea na urafiki tu. Tena anaweza kuwa rafiki mwema kuliko mkiwa wapenzi.

sante kwa ushauri mzuri
 
jamaa ana bahati kweli, kamiti na wewe mkainjoi dah!. natamani ungemiti nami aisee.
 
Back
Top Bottom