Nimemchoka mwanaume huyu lakini nampenda nifanyeje?

Nyambura "umejibatiza' lini bila kunitarifu? sorry for off topic

afu wewe na nunnu mna matatizo yanafanana? kweli 'masharobaro" wamekuwa wengi siku hizi....

Acha masihara kaiza!!! wanaume wa hivyo ni hatari sana maana wanaweza kututanguliza akhera.....................hawajali na wala hawana aibu maana wana ukatiti ulopitiliza

namshauri nyambura am delete na kum empty kwenye recyclebin yake kabsaa yaani huyo ni full kimeo
 
Tafsiri ya upendo ni kama ifuatavyo: Upendo huvumilia, hufadhili, upendo hauhsudu, upendo hautakabari; haujivuni, haukosi kuwa na adabu, hautafuti mambo yake; hauoni uchungu; HAUHESABU MABAYA. Upendo huvulia yote; huamini yote; hutumaini yote.

Sasa wewe huo unafiki wako unaotwambia hapa unatutoa wapi? Inaonyesha wewe siyo mwaminifu hata kwenye vitabu vya Mwenyezi Mungu .Ebu soma 1 Wakorinto sura ya 13:4-8, soma Mithali 31 ( A woma of Proverb 31). Shetani anataka kukushinda nguvu, stand in faith.
 
Serious telling u hawezi kubadilika, wahenga walisema samaki mkunje angali mbichi, labda Mungu aingilie kati. Kwa kutokukujali hata kwa fedha kidogo kwa miaka yote hii, seems hakupendi, hana true love pengine mwaenda kwa mazoea tu. To me nakushauri achana nae, hata watoto ndani hata wajali kwa chakula wala ugonjwa. mwache aende, love peke yake is not enough to enter into a relationship kuna other factors to consider, love inahitaji kupaliliwa ili likuwe otherwise linaperrrish. yaliwahi kunikuta nikajidai atabadiliki yalonikuta nitayaongea siku moja humu, niliamua kumpata yule aliyekwisha nyoka mwenye tabia nizitakazo. All the best narudia kupenda pekeyake hakujitoshelezi kuingia kwenye ndoa.
 
Nashukuru Mungu huyu kijana hana TUHUMA za UMALAYA. Dada saga goti lako umuombee, Mungu atambadili. ebu imagine wanaokwambia umwache utapata nani anayekupenda? Imagine upate asiyekunywa pombe anatoa kila kitu ila ni MALAYA hw will you feel? Ebu soma mistari niliyokupa najua itakusaidia sana.

Wewe fata ma ushauri mengine ya watu ambao hawana hata waume wala mabwana ukipate cha moto. Hata wewe I am sure tukimuita hapa atasema mambo yako mengi ambayo ndiiyo labda yanampelekea yeye kufanya hivyo au kunywa pombe. No one is perfect, ni kiasi cha kufundishana taratibu kiheshima atabadilika tu.
 
Kwanza nikupe hongera kwa muda wote mliokaa naye huyo jamaa,hii inaonyesha wewe ni MKE NA SI MWANAMKE KWA HUYO JAMAA,sychology ya maisha ina mambo mengi sana!Labda kabla sijaendelea nikuhakikishie that is ur man of ur life,and the right choice to u regardless mwana JF yeyote atakavyochangia!Umesema ameingia chuo akinywa,still bado akaendelea mpaka alipopata kazi na mpaka sasa hana focus!,kuna mengi ya kutizama hapa,socially and sychologically ni kwa nini yupo hivyo,kwetu Africa kuna ugumu kutizama haya na kumsaidia mtu kuepukana na hilo,ila niamini wewe una jukumu la kwanza kumsaidia kuliko hata wazazi wake,anayo nafasi kubwa ya kukusikililiza wewe!usimzalie mtoto,mipango ya ndoa ichelewe kidogo,SASA ACHA KUMSAIDIA KIFEDHA KABISA KABISA ILA MWAMBIE SABABU,MUONYESHE WAZI UNAMPENDA ILA UNAMUADHIBU KWA VITU FULAN NIA NA KISA ABADILIKE,NDO MAANA KUNA VIBOKO SHULENI,KUNA MAGEREZA POPOTE DUNIAN,KUNA BARUA ZA ONYO KAZINI,KUNA KWARESMA NA HATA RAMADHANI,YOTE NIA NI KUBADILIKA POSTIVELY,mimi i was worse than ur guy,I drunk for more than 9years!when i got to university ready i was a drinker,i went on to b heavy drinker,known to colleagues and universityl community as a whole,as a consenquence finally i had poor academic perfomances miaka ya mwisho iliyonipelekea kurudia mwaka,.boom unalosema nilikuwa namaliza wk tu sina kitu,ni mizinga kwa washkaj na ndugu kuanzia hapo,nikamaliza nikaanza kazi bado frustration za shule zikaendelea kunisumbua,nikipata mshahara ni bar tu almost a year,with advice FROM OTHERS and personally scrutising wapi nimetoka,wapi ninaenda,NIKAWA GENTLEMEN,mpe nafasi kwa tahadhali kubwa,upendo ukiwa wazi kwake!atatambua na kujirekebisha!napita tu!
 
Serious telling u hawezi kubadilika, wahenga walisema samaki mkunje angali mbichi, labda Mungu aingilie kati. Kwa kutokukujali hata kwa fedha kidogo kwa miaka yote hii, seems hakupendi, hana true love pengine mwaenda kwa mazoea tu. To me nakushauri achana nae, hata watoto ndani hata wajali kwa chakula wala ugonjwa. mwache aende, love peke yake is not enough to enter into a relationship kuna other factors to consider, love inahitaji kupaliliwa ili likuwe otherwise linaperrrish. yaliwahi kunikuta nikajidai atabadiliki yalonikuta nitayaongea siku moja humu, niliamua kumpata yule aliyekwisha nyoka mwenye tabia nizitakazo. All the best narudia kupenda pekeyake hakujitoshelezi kuingia kwenye ndoa.
dah naomba xperience yako pls ulifanyaje na paka uyo
ni pm plssssssssss
 
duu kweli
ahsante
 
Serious telling u hawezi kubadilika, wahenga walisema samaki mkunje angali mbichi, labda Mungu aingilie kati. Kwa kutokukujali hata kwa fedha kidogo kwa miaka yote hii, seems hakupendi, hana true love pengine mwaenda kwa mazoea tu. To me nakushauri achana nae, hata watoto ndani hata wajali kwa chakula wala ugonjwa. mwache aende, love peke yake is not enough to enter into a relationship kuna other factors to consider, love inahitaji kupaliliwa ili likuwe otherwise linaperrrish. yaliwahi kunikuta nikajidai atabadiliki yalonikuta nitayaongea siku moja humu, niliamua kumpata yule aliyekwisha nyoka mwenye tabia nizitakazo. All the best narudia kupenda pekeyake hakujitoshelezi kuingia kwenye ndoa.

Na wewe! Sio kweli kuwa watu hawabadiliki. Usiseme kwa ujumla. Misemo kama samaki mmoja akioza haina maana sana. Mimi pia naweza kuhukumu kuwa nawe hukuwa na mapenzi ya dhati kwa huyo uliyekuwa naye. Kama wewe unampenda na yeye anakupenda! Acha michezo ya kuigiza maana nasi (wanawake na wanaume) tumekuwa WASANII sana, unao uwezo mkubwa sana wa kumbadilisha mwenzako!
Huyo uliyemkuta keshanyooshwa alinyooshwa na mwenzako wewe ukajakumwiba. Una tuhuma za kuiba mtu wa mtu aliyefanyiwa kazi kwa kitambo kirefu. Fikiria huyo aliyekuwa naye kabla yako alifanya kazi kubwa kiasi gani hadi wewe ukamwona! Je roho haimuumi huyo dada aliifanya hiyo kazi. Acheni utamaduni wa kupenda cha wenzenu boresheni vyenu ili navyo vionekane! Utajisikiaje pale utakapokaa na mtu na ukafanikiwa kufanya kazi ambayo hata wazazi wake wliishindwa. Dada mtoa mada, fanya jitihada za makusudi kuhakikisha kuwa unamweka kwenye msitari. Angalao unajua kuwa huyu ni mlevi! Je hao wenye kujifanya sio walevi ni malaya wa kutupwa. Wenye wanawake kila mtaa! Ulevi! Mbona ataacha tu mpendwa! Vunja ukimya ongea naye! Atakuelewa tu. Usimkataze kunywa kabisa mwombe tu apunguze!
 
Nilishawahi kusikia kuwa hakuna tabu inayomjia mtu, bali watu wanazifuata tena wakiziona. Nakupa pole kwa maisha utakayoishi na huyu jamaa. pengine ni wito...
 
Huyu jamaa lazima atakua alikua anashinda Hillpark kipindi boom limeingia wakati mko chuo. Mwambie wenzake walishaachana na hayo maisha, wanafamilia na wamejijenga kikazi. Jaribu kumuonesha mfano wa rafiki zake ambao walikua nae chuo wakifanya hayo mambo pamoja lakini sasa wame excel. Ukishindwa hayo yote mshauri aende rehab.. kuna moja kinondoni kama sikosei
 
Nyambura soma post no 30. Nilikuwa mlevi mpaka wakati mwingine nikiomba kazi mahali naitwa cha pombe. Siku moja nilimtolea uvivu afisa mmoja. Ndo kwanza nilikuwa under probation, jamaa akaniwakia we mlevi sana. Da niakampa ka mimi mlevi nambie kazi uanyodai mezani kwangu!
Hata hivyo ongea naye kama ambavyo tumekushauri. Una nafasi ya kujitwalia mme ambaye atakuwa hana majaribu tena y vitu ka ulevi!
 
Huyu jamaa lazima atakua alikua anashinda Hillpark kipindi boom limeingia wakati mko chuo. Mwambie wenzake walishaachana na hayo maisha, wanafamilia na wamejijenga kikazi. Jaribu kumuonesha mfano wa rafiki zake ambao walikua nae chuo wakifanya hayo mambo pamoja lakini sasa wame excel. Ukishindwa hayo yote mshauri aende rehab.. kuna moja kinondoni kama sikosei

kinondon ipi
wap?
pls nambie
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom