nimemaliza msiba natoa shukrani kwa wana"JF"wote!!

CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Feb 20, 2012
7,113
930
Napenda kutoa shukrani zangu kwa wana JF wote kwa kua nami karibu tangu kufariki kwa mwanangu mpaka maziko na atimae sasa leo nimeitimisha msiba.
Kwa kweli inauma sana kuondokewa na mtoto,
Nilikua na watoto 3 sasa mwenyezi mungu kanibakizia 2,namshukuru m/mungu juu ya hilo na nnatumai anamaana yake kufanya hivyo.
Ntakua hapa Dar kwa wiki 2 na baada ya hapo ntaelekea nyumbani musoma kwa mapumziko mafupi inshaallah!
 
Mwnyezi Mungu na akupe subira...lakini pia nakupongeza kwa kuwa na ujasiri wa kutupa taarifa.Safari njema Musoma sijui unaelekea maeneo gani nami ni mwenyeji sana huko...japo nipo Dar
 
poa mkuu pole sana,nilipanga nikutembelee leo tena but mambo yakawa yameingiliana,naweza kuja kukucheki j,2 inshaallah!
 
Pole sana spika, Mungu azidi kukupa nguvu katika kipindi hiki kigumu!
 
poa mkuu pole sana,nilipanga nikutembelee leo tena but mambo yakawa yameingiliana,naweza kuja kukucheki j,2 inshaallah!
Nyumbani ni Bunda vijijini panaitwa "KISANGWA"njia ya kuelekea "NYAMUSWA"
 
Mungu akuongezee nguvu mkuu wangu, tupo pamoja kaka katika kipindi hiki kigumu.
 
Back
Top Bottom