Nimelogwa au nini?

Kapax

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
215
21
Jaman mi nina demu aja2lia kabisa na najua kabisa kwamba aja2lia bt kila kukicha nazid mpenda daaa sijui nifanyaje!!.
 
huna cha kusaidiwa
ndo ushapenda

ila kumbuka kunguru hafugiki
na ukimwi sio hadithi
 
Hivi mtu kuamini kurogwa c ndo part ya psychology...dogo hivyo ni viuno tu vya demu vina kubabaisha...na wewe unadhani umerogwa.

Mtu aksiha jiwekea akilini karogwa, hata waganga wanajua tumeishapata jinga lolo la kulilia pesa.

Hakuna kurogwa wala nini, hao wanao roga bila uwezo wa mungu hawana nguvu.
 
Wala hujalogwa ndio ushapenda tena,c unajua moyo unapopatia tulizo huon wala huckii,jitahidi kutafuta sababu ya kutotulia kwake umtulize maisha yaendelee!
 
Daa kwa hyo ka so ivyo so hapo tatizo ni nin?
 
Wala hujalogwa ndio ushapenda tena,c unajua moyo unapopatia tulizo huon wala huckii,jitahidi kutafuta sababu ya kutotulia kwake umtulize maisha yaendelee!

Kwa hyo unaniambia nisimwache istd nitafute tatizo thn iendelee naye?
 
Jaman mi nina demu aja2lia kabisa na najua kabisa kwamba aja2lia bt kila kukicha nazid mpenda daaa sijui nifanyaje!!.

sasa best unataka sisi tumtulizee au unataka sisi tufanyeje? Mana ukwel unaujua sasa kwanini usijalibu kumsoma ni nini kinachomfanya asitulie labda kwa7bu yeye ni demu na kwa7bu DEMU kwa kiswahili ni ng'ombe aliekuwa kwenye siku zake hvyo hawez kutulia huyo demu. Sawa kaka
 
@Kapax,Yes kabla hujaamua tafuta chanzo cha tatizo may be ww humtoshelez au kuna vitu anataman ili humpatii na hujamjengea mazingira ya kuwa muwazi kwako na ukute naye hana ujacri wa kujieleza kwako!so tafuta 7bu then solution uckimbilie kumwacha.
 
sasa best unataka sisi tumtulizee au unataka sisi tufanyeje? Mana ukwel unaujua sasa kwanini usijalibu kumsoma ni nini kinachomfanya asitulie labda kwa7bu yeye ni demu na kwa7bu DEMU kwa kiswahili ni ng'ombe aliekuwa kwenye siku zake hvyo hawez kutulia huyo demu. Sawa kaka

Mmmmh kwa hyo inabid niachane naye acrdng 2 u!!
 
Yes kabla hujaamua tafuta chanzo cha tatizo may be ww humtoshelez au kuna vitu anataman ili humpatii na hujamjengea mazingira ya kuwa muwazi kwako na ukute naye hana ujacri wa kujieleza kwako!so tafuta 7bu then solution uckimbilie kumwacha.

Sasa mi kila nikimwuliza hawi mwz kwngu bt sh lvs me alt acdng 2her!!
 
Mmmmh kwa hyo inabid niachane naye acrdng 2 u!!

hapana mm sijasema uachane nae ila nimesema utakuja unajua ni nini kinachom7bisha yeye kutotulia alafu nikaongelea maana ya neno demu. So suala la kumuacha au kutomuacha lipo mikonani mwako ila jitahid umlekebishe atulie ndo uamue kumuacha au kutomuacha.
 
Sasa mi kila nikimwuliza hawi mwz kwngu bt sh lvs me alt acdng 2her!!

Jitahidi kumpa nafac ya kujieleza hasa nn anapenda labda mnapokua faragha,sehemu gani upeleke outing,mpe uhuru kunako na co ubabe,muulize kwa lugha za mapnz co ubabe na amri,jitahidi unapokua na nafac uwe nae na kujitahidi kumsoma ni kipi kinamtoa nje,timiza wajibu wa kumtunza na kumtimizia mahitaji yake ikishindika mpaka hapo akaendelea bac atakua hakupendi anatafuta njia umshindwe mwenyewe!
 
Mmmmh nitajarbu hvyo!!
 
Ok bt nimekua nkmtel hvyo 4 1yr nw.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom