Nimelipa kisasi kudadadeki

ujinga huu ptuuuu! na kama eti ni ushabiki wa cdm basi jua utakupa mtoto HIV +.

teh teh teh...hujawahi kusikiliza kipindi cha watu na matukio. Ama kweli kama hujafa hujaumbika. gfsonwin ndio maisha yalivyo chini ya jua.
 
Last edited by a moderator:
Naam wadau,j2 iliopita muda wa saa wakati natoka hme kuingia katikati ya jiji la Tanga,Barabarani nikakutana na mdada mrembo haswa,nikasimama bila kusimamishwa na kumpa lift cos alikuwa anaelekda mjini ,ktk kufaamiana akaniambia ni mke wa polisi amekuja likizo hme kutokea mkoa fulani na kidoleni kuna utambulisho kuwa ni maried .Chinga sikushangaa nikamwonyesha kuwa n ni mtoto wa Tandahimba, nikatupia vocal akingiza chorus na j3 nimemla kwa hasira ili kulipa kisasi kwa mabomu wanayotupiga waume zao ktk M4C. People....s

http://www.google.co.tz/url?sa=t&rc...yYDACQ&usg=AFQjCNEsUVey714X6dkzlIHan8-bjQmSFw
 
Du kaka unamawazo ya kizamani sana,yani na haya magonjwa bado unaona hilo dili?We kufungua zipu in one day umejiona bingwa ee.Jamani people we need to change,haya mawazo mgando kama ya huyu mwenzetu tusiwe nayo yatatufupishia ndoto zetu.
 
sifa za kijinga!
Naam wadau,j2 iliopita muda wa saa wakati natoka hme kuingia katikati ya jiji la Tanga,Barabarani nikakutana na mdada mrembo haswa,nikasimama bila kusimamishwa na kumpa lift cos alikuwa anaelekda mjini ,ktk kufaamiana akaniambia ni mke wa polisi amekuja likizo hme kutokea mkoa fulani na kidoleni kuna utambulisho kuwa ni maried .Chinga sikushangaa nikamwonyesha kuwa n ni mtoto wa Tandahimba, nikatupia vocal akingiza chorus na j3 nimemla kwa hasira ili kulipa kisasi kwa mabomu wanayotupiga waume zao ktk M4C. People....s
 
duh mmemshambulia jamaa kapotea hahahaha.
ujinga kujisifu kuwa malaya
 
kwa staili hiyo mkuu, umepona mabomu sasa jiandae kwa ngoma huponi!!
 
jf bana...kama ningepewa nafasi ya kukuona live, sijui ningekufanyaje...
 
Kama wanachama wenzako wa M4C nao wanalipiza kisasi kwa njia hiyo ni ishara kuwa Chama kina wanachama Mbumbu,vinginevyo wewe hufai kuwa mwanachama wa chama hicho.Plz kajiunge na vyama vya makahaba wa kiume huko kuzimu.

Aidha hufai hata kuwa member wa JMF,the great thinkers.Kwa kusaidia kushauri uenze kujichimbia kaburi mwenyewe maana siku zako zimekaribia, kama siyo kwa STD basi ipo siku utainamishwa na kupigwa risasi ndani ya masaburi.MBWEGE MKUBWA WEWE.
 
Naam wadau,j2 iliopita muda wa saa wakati natoka hme kuingia katikati ya jiji la Tanga,Barabarani nikakutana na mdada mrembo haswa,nikasimama bila kusimamishwa na kumpa lift cos alikuwa anaelekda mjini ,ktk kufaamiana akaniambia ni mke wa polisi amekuja likizo hme kutokea mkoa fulani na kidoleni kuna utambulisho kuwa ni maried .Chinga sikushangaa nikamwonyesha kuwa n ni mtoto wa Tandahimba, nikatupia vocal akingiza chorus na j3 nimemla kwa hasira ili kulipa kisasi kwa mabomu wanayotupiga waume zao ktk M4C. People....s
umelipiza kisasi kivipi kwani huyo dada haku enjoy? huyo polisi ulimuumiza nini? kunekuwa na changes katika hiyo kitu? au wewe una ngoma umemwambukiza huyo dada na kisha akamwambukize mumewe? bado sijakupata.
 
yaani wewe ndo kilaza kuliko watu wote duniani, hata slaa akisoma hii atajua wanachama wake ni vichaa
 
Hizi ndio akili za watu wa chadema, mnasema kitu gani wakati bosi mkubwa nae alianza hivihivi na juzi kaamua kuchukuwa jiko moja kwa moja, UZINZI UZINZI chadema mtaacha lini, kuanzia mabosi mpaka wapiga kura wake ! puuuuu!
 
Back
Top Bottom