Nimelazwa Kcmc

nani agome!? Naumwa lakini nakula kama fuko, sijui nnamwanandani!
Hahahahaaaa inawezekana...ila labda umelazwa kwa kukosa nguvu kisa umekosa chakula so ukikipata ndio hapatoshi...
Hahahaaaa hadi manesi watashangaa...
Ukimaliza kula tu unapona...
Teh
 
Tena kabisa unipitie, hapa namaliza kunywa chai halafu nimuandalie Angel mtori.. Wa kuonja utakuwepo.

Umeona eeh...kama kuumwa tuanze sisi kwanza....kwa kuonja...apo nakuja sasa hivi....nigonge au nipige honi?
 
Mwenyezi Mungu akutumie malaika wake watakatifu, wakuzunguke na kukulinda dhidi ya pepo wabaya. Akushushie mkono wake wa kheri na baraka upate kupona haraka. Amen!
 
Huko nyumbani kwema lakini? Naomba umpelekee mgonjwa maapple kwa niaba yangu tafadhali, si unajua mie nipo sitimbi huko siwezi kufika!!

orait, Kipy ilo apple itabidi niliandike "from Kipipi" ili mgonjwa ajue kuwa am doing it on behalf.....sitimbi hawajambo? urudi na kiroba cha senene (sijui ndo kuna senene am just guessing)
 
Kumfinya tena jamani?? Vibaya hivyo Erick, ujue mgonjwa anahitaji kubembelezwa!

Kidogo tu jamani ili ale...
Ila amenambia yeye yuko fit sana kwenye kula na anapoumwaga appetite ya kula huwa juu sana hadi anajishangaa
 
Umeona eeh...kama kuumwa tuanze sisi kwanza....kwa kuonja...apo nakuja sasa hivi....nigonge au nipige honi?

Gonga kabisa.. Honi inasumbua majirani.. Kesi yako na kabakabana mshaimaliza? Sitaki vurugu nyumbani kwangu!
 
Habarini wana jf wenzangu, mwenzenu naumwa na nimelazwa kcmc hospital toka juzi sa 5 usiku, NAOMBENI MNIOMBEE DUA KWA MWENYEZ MUNGU NIPONE MAPEMA nirudi kwenye mapambano ya kulikomboa taifa. Mungu ibariki Tz, Mungu ibariki Jf, Mungu ibariki .......

umecheki damu kubwa?
 
Gonga kabisa.. Honi inasumbua majirani.. Kesi yako na kabakabana mshaimaliza? Sitaki vurugu nyumbani kwangu!

Namsubiri aje hapa kwanza aniambie manake kama ni deni, hata serikali inadaiwa...Kaby where are u at?

nina kama dk 5 nitakuwa hapo...umeshapika tayari au nitasubiri kidogo?
 
Namsubiri aje hapa kwanza aniambie manake kama ni deni, hata serikali inadaiwa...Kaby where are u at?

nina kama dk 5 nitakuwa hapo...umeshapika tayari au nitasubiri kidogo?

Itabidi usubiri kidogo... Dakika chache tu. Kwani una haraka?
 
orait, Kipy ilo apple itabidi niliandike "from Kipipi" ili mgonjwa ajue kuwa am doing it on behalf.....sitimbi hawajambo? urudi na kiroba cha senene (sijui ndo kuna senene am just guessing)

Itapendeza zaidi, yaani mgonjwa akitabasamu tu hata kabla ya kuling'ata na kutafuna taratibu kwa uvivu wa kigonjwa.....basi mie roho nyeupeeee!!! Btw, Sitimbi hawajambo kabisa, ila sio huko kwenye senene bana lol!!
 
Itabidi usubiri kidogo... Dakika chache tu. Kwani una haraka?

Sina haraka Amyner...si ntakuwa nawatch series kidogo wakati nasubiria kuonja au unaonaje.....usije ukaniambia utapenda nikusaidie jikoni....
 
Back
Top Bottom