Nimelala na mwanamke kitanda kimoja usiku kucha ..........

Uuwwwiiiiii


ndo maana matukio ya humu hutakiwi sema yako.
Unasimulia ya watu wengine tu.

Ofisi: PPF

Wizara: Fedha

Nchi: Dubai

Perdiem zao kwa kila mchana wakiwa Dubai USD 600 (Tshs 960,000), Wamelipwa USD 600X7days ambazo USD 4200 (Tshs 6,720,000)

Kwa huyo mdada uliye naye, amekustahi ngoja jioni hii anywe pombe ndipo utagundua kuwa hata wanawake huwa wanabaka, na leo lazima ubakwe na huyo mama hatachangia malipo ya hotel bali utalipa zote wewe.

Sipendi kuwataja majina. Mmeondoka jana mmnarudi Jumamosi
 
Ni mfanyakazi mwenzangu tumeenda nchi jirani kwa semina ya siku 5.Tulivyofika tu wakati tunacheki hotel ambayo ni nzuri bei kidogo ipo juu ila kampuni wametupa pesa za kutosha sana,Sasa wakati tunajadiliana jinsi ya kufanya yule sister akasema, Kwa nini tusichukue chumba kimoja tukashare ili tusave hizi pesa? Nilijua ananitania lakini akasisitisha kwamba yupo serious.

Tukachukua chumba kimoja chenye kitanda kimoja tukazama ndani.Ile kuingia tu ndani yule sister akasema anataka kuoga sababu ya uchovu wa safari akjifunga taulo kavua nguo kazama bafuni.Picha nyingi sana zikanijia ifikapo usiku itakuwaje? Sababu yeye ni mke wa mtu na mimi nina mke home.

Nikajiapisha sintofanya chochote na huyu sister kwanza tunaeshimiana sana. Nmimi nikaenda kuoga baada ya yeye kutoka nilivyorudi nikakuta ashavaa nguo. Story story kidogo tukashuka chini tukaenda pata dinner mpaka kwenye saa 5 usiku tukarudi room.
Kufika tu yule sister kavua nguo zake hii sasa alivua mbele yangu akapiga night dressing kajitupa bed.

Na mimi nikajipa moyo nikavua nikapiga bukta nikazama bed.Tukapiga story mbili tatu huku tukiwa tumejifunikia shuka moja.
Mara usingizi ukanipitia kushtuka nimemkumbatia ile mbaya nikijua ni wife home kuchek na yeye kanikumbatia na kaweka mguu juu yangu.Ki ukweli hali ilikuwa ngumu sana mpaka mapigo ya moyo yalibadilika.

Ki ukweli usingizi ulikata nikawa nimemkumabatia mpaka asubuh. Palipokucha yaani yule sister hana time akazama zake bafuni katoka kapiga suti yake na mimi nikazama bafuni kutoka tukaelekea kwenye hotel inapofanylika semina.

Jamani hii ndio siku ya kwanza kweli niatweza maliza siku tano bila kuingiza ndoa yangu matatani kwa style hii kweli.
Ila nimeapa kutofanya chochote na huyu sister.
Ee mungu nipe ujasiri.

Acha stori, usitugeuze wagagagigikoko Bulcheka we!
 
atamsema vibaya sana ofcn kama asipolinda urijali wake

Shida ndo hii...
Manuu pls hakikisha unanunua Condoms uwe nazo incase ukizidiwa coz unaweza kujilipua then kesho unaambiwa mumewe ni victim tangu mwaka 2006....lol
 
umewahi sana kuweka hii post. ungetuwekea siku ya 3 au ya 4 ndio ingenoga. una kiherehere sana cha kupost.
haya urudi after 3 days utueleze mmesave dollar ngapi kwenye hotel kwa kulala kitand kimoja na makumbatiano ya kitakatifu.

umeonaeee!!!
 
Niambie mkuu, isje ikawa pamoja na mateso yote hayo...bado we ndo umelpia room, na zake bado zpo mfukon!

Acha uanaume ***** wewe, chemsha bongo na kama vp, vunja mkataba!Anyway,akl kchwan mwako...
 
Mungu alikua anamaana kubwa aliposema ikimbie zinaa tena kwa miguu yako miwili sasa wewe unaikaribisha kwa mikono na miguu.uje utuambie na kesho sasa.
 
.
Mkuu, unajua nini ...

Mtu kaleta uzi wake hapa anaomba ushauri .... sasa kataja mazingira alafu watu wengine humu jamvini baada ya kusoma mazingira na kumfahamu muhusika wenyewe wanaanza kumwaga data zote hapa!

... kuanzia kazi, nchi waliyoenda, yupo nani na nani, wamepewa kiasi gani (per-diem), wanatoa hadi data za waliondoka lini, watarudi lini, na hata some charactaristics za hao watu & it seems washajua hadi mwisho utakavyokuwa

... sasa hapa ndo naona tatizo ... home kwake jamaa watakuwa washajua, au mke wake ni memba wa hapa JF atakuwa ameshasoma hii thread na atakuwa anajua jamaa yake anafanya nini huko ... ndoa mashakani

.... sasa kujitoa kwenye kundi la mashahidi nimeamua kupitiliza huku nikiwa natembea mwendo wa kuchoka kabisa

.

patamu hapo sa si bora alete shari kabisa....
 
.
Mkuu, unajua nini ...

Mtu kaleta uzi wake hapa anaomba ushauri .... sasa kataja mazingira alafu watu wengine humu jamvini baada ya kusoma mazingira na kumfahamu muhusika wenyewe wanaanza kumwaga data zote hapa!

... kuanzia kazi, nchi waliyoenda, yupo nani na nani, wamepewa kiasi gani (per-diem), wanatoa hadi data za waliondoka lini, watarudi lini, na hata some charactaristics za hao watu & it seems washajua hadi mwisho utakavyokuwa

... sasa hapa ndo naona tatizo ... home kwake jamaa watakuwa washajua, au mke wake ni memba wa hapa JF atakuwa ameshasoma hii thread na atakuwa anajua jamaa yake anafanya nini huko ... ndoa mashakani

.... sasa kujitoa kwenye kundi la mashahidi nimeamua kupitiliza huku nikiwa natembea mwendo wa kuchoka kabisa

.

patamu hapo sa si bora alete shari kabisa....sema mbaya zaidi tunaweza mtia ujinga afakijifanya kidume aanze kumnawa ndo hapo sasa dem atakapombani na jamaa akose ndoa na aibu kazini
 
Back
Top Bottom