Nimelala na mwanamke kitanda kimoja usiku kucha ..........

Naona kama rongorongo ila sisemi hivyo. Hadithi nyingine bwana utadhani Alfu Lela Ulela imerudi! Haya kalagabaho. Hata hivo leo sina komenti.
 
lol kazi ipo
wanawake bwana akishakuamini na kukuona una busara anakuwa huru sana
anakuchukulia kama ndugu usifanye lolote. atakuwa mchaga huyo na mchumi kweli kweli
 
Hakuna cha ajabu hapo. Hayo ni mambo ya kawaida kabisa. ILA uwe makini,kwa sababu, badala ya wewe kusave unaweza kuishia kumhonga pesa zako zote.
 
Kweni we hujui kua safar 1 huanzisha nyingine? Siku ya kwanza mmelala mwishoe mtalaliana.Take care f ur self n ur wyf
 
Huko hakuna ndomu mkuu wachakutudhalilisha wanaume bwana.Kula maini hayo kaka.Ukimaliza mwambie hakuna kujuana
 
Ewe mwanadamu. Enenda katika NENO. Kwanza soma Mathayo 4:1-11. Halafu fukizia Zaburi 23, kwani umo ndani ya BONDE LA MAUTI, lakini lenye maua na vipepeo wazuuri. God bless you.
 
umewahi sana kuweka hii post. ungetuwekea siku ya 3 au ya 4 ndio ingenoga. una kiherehere sana cha kupost.
haya urudi after 3 days utueleze mmesave dollar ngapi kwenye hotel kwa kulala kitand kimoja na makumbatiano ya kitakatifu.
 
piga mzigo huo au haulipi? km ni Ugly woman utaambulia kulipia chumba na yeye atarudi na Dollary zake
nakushauri jikunje nyuma ya mgongo wake km ana sura mbaya abdalla kichwa wazi atakupa jibu km ana joto tumbukiza ...
 
.

... aaah! ... mimi napita tu! ... simo!
napita.gif

.
.

kiongozi mbona wewe safari yako huwa haifiki mwisho??????????hujachoka tu kutembea?????????????
 
Mara usingizi ukanipitia kushtuka nimemkumbatia ile mbaya nikijua ni wife home kuchek na yeye kanikumbatia na kaweka mguu juu yangu.Ki ukweli hali ilikuwa ngumu sana mpaka mapigo ya moyo yalibadilika.
Umenikumbusha wimbo wa sungura "shambani nilikwenda, na maboga sikula.., uniambie kosa la kufukuzwa na mbwa ?"

Mkuu in my book am sure hata kwa mke wako na mme wake.., kukumbatiana hivyo mpaka asubuhi ni ku-cheat tayari..

Its up to you kama unaamini heri nusu shari kuliko shari kamili
 
Hupaswi kujiruhusu kuingia majaribuni manake ni hatari KIROHO na kimwili. Kumbuka unaweza kujizuia lakini siyo muda wote iko siku utakamatwa na kishawishi kitakushinda na kukufanya uivuruge ndoa yako na ya mwenzio, acha kabisa kaka!!
 
kiongozi mbona wewe safari yako huwa haifiki mwisho??????????hujachoka tu kutembea?????????????

.
Mkuu, unajua nini ...

Mtu kaleta uzi wake hapa anaomba ushauri .... sasa kataja mazingira alafu watu wengine humu jamvini baada ya kusoma mazingira na kumfahamu muhusika wenyewe wanaanza kumwaga data zote hapa!

... kuanzia kazi, nchi waliyoenda, yupo nani na nani, wamepewa kiasi gani (per-diem), wanatoa hadi data za waliondoka lini, watarudi lini, na hata some charactaristics za hao watu & it seems washajua hadi mwisho utakavyokuwa

... sasa hapa ndo naona tatizo ... home kwake jamaa watakuwa washajua, au mke wake ni memba wa hapa JF atakuwa ameshasoma hii thread na atakuwa anajua jamaa yake anafanya nini huko ... ndoa mashakani

.... sasa kujitoa kwenye kundi la mashahidi nimeamua kupitiliza huku nikiwa natembea mwendo wa kuchoka kabisa

.
 
kaka hangaika naye huyo atakudharau sana,hata mara moja tu ya suna inatosha ajue kuwa uko rijali
 
.
Mkuu, unajua nini ...

Mtu kaleta uzi wake hapa anaomba ushauri .... sasa kataja mazingira alafu watu wengine humu jamvini baada ya kusoma mazingira na kumfahamu muhusika wenyewe wanaanza kumwaga data zote hapa!

... kuanzia kazi, nchi waliyoenda, yupo nani na nani, wamepewa kiasi gani (per-diem), wanatoa hadi data za waliondoka lini, watarudi lini, na hata some charactaristics za hao watu & it seems washajua hadi mwisho utakavyokuwa

... sasa hapa ndo naona tatizo ... home kwake jamaa watakuwa washajua, au mke wake ni memba wa hapa JF atakuwa ameshasoma hii thread na atakuwa anajua jamaa yake anafanya nini huko ... ndoa mashakani

.... sasa kujitoa kwenye kundi la mashahidi nimeamua kupitiliza huku nikiwa natembea mwendo wa kuchoka kabisa

.

siamini kama wako serious nafkir waliomwaga hizo data wanatania hakuna mwana jf mwenye nia ya kuharibu ndoa ya mwenzao.
 
Back
Top Bottom