Nimefanikiwa ku apply kwa system ya TCU, mimi ni diploma leaver, lakini nikifungua myprofile kilakitu kipo safi ila diploma index number yangu haionekani hapo, je kuna yoyote aliye apply kwa kutumia diploma na amefanikiwa lakini kwa profile yake diploma index namba haionekani kama mimi? au ni tatizo langu peke yangu? tafadhari msaada wandugu!