NIMEKWAMA: NISAIDIENI katika hii iphone 3g nilikuwa nina update

Pasco_jr_ngumi

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
1,802
282
nime update
sasa inashindwa kufunguka. nikiunganisha na itunes, inasema ni-restore......... nikigonga restore inaenda hadi mwisho inatoa error no 1015

nifanyeje wakuuuu
 

Attachments

  • IMG_20120726_133028.jpg
    IMG_20120726_133028.jpg
    214.6 KB · Views: 66
  • IMG_20120726_134603.jpg
    IMG_20120726_134603.jpg
    173.1 KB · Views: 63
Hapo ipo katika Restore Mode! Kuna Application inaitwa TinyUmbrella au iREB (zipo bure google) unatakiwa kudownload ili uondoe iphone katika restore mode..

Ikikataa kutoka basi ni lazima uRestore simu. kwanza hakikisha iTunes yako ni latest version 10.6.3.25, uwe umedownload latest custom firmware 4.2.1 kwaajili ya iPhone 3G, weka iPhone katika DFU mode maelezo yapo hapa ( http://m.iclarified.com/entry/index.php?enid=1034 ), ukiwa na connection ya internet, baada ya kuwa katika DFU, connect simu kwenye iTunes itakwambia uRestore, shikilia SHIFT key kwenye keyboard baada ya hapo click RESTORE kwenye iTunes, locate firmware yako uliyodownload then iache imalize kuRestore!
 
hiyo tayari watakua wameshai-pin huko apple,cha kufanya tafuta wataalam wai-jail break itafanya kazi,inawezekana ulikua ume-update wakati haitambuliki kule apple ndo mana wameifungia.dawa ni kujail-break kuna wataalam nadhani hapobongo wapo pia ingawa watakulia hela ya kutosha kwanza
 
kaka Brakelyn ameeleza vizuri.
kwa mtazamo wangu kabla ya kufanya chochote ningependa kujua mambo yafuatayo;
1. Je unapata tatizo lolote katika iphone kabla hujaiconnect na computer yako.
2. Kabla hujaiupdate ulikuwa unatumia firmware gani na baseband ipi?
3. uliupdate itune kabla ya kuupdate iphone yako?..​
 
fuata maelekezo ya brakelyne kwanza ukifanikiwa itakuwa haisomi tena simcard..sasa ukishafanikiwa kuifungua ikawa haisomi simcard yako..rudi nikuelekeze cha kufanya zaidi.
 
kulikuwa hamna tatizo lolote, niliamua kuapdate kwa vile kuna application nyingi zilikuwa zinakataa kuingia ambzo ninazipenda kama tumblr, socialcam,na nyinginezo

pia itune nimeupdate...
nimedownload tinyumbrella v4.21.01, naendelea kujaribisha nikifanikiwa nitawajulisha wakuu.....
kaka Brakelyn ameeleza vizuri.
kwa mtazamo wangu kabla ya kufanya chochote ningependa kujua mambo yafuatayo;
1. Je unapata tatizo lolote katika iphone kabla hujaiconnect na computer yako.
2. Kabla hujaiupdate ulikuwa unatumia firmware gani na baseband ipi?
3. uliupdate itune kabla ya kuupdate iphone yako?..​
 
Try holding a midle button with the power button simultaneously and see what happens..
 
wapo bana, mimi nafanyia mazoezi hii yangu
nikifanikiwa, njoo na yako, sawa???

Tena kweli, aje na elfu80, hiyo ndy bei ya k/koo....hahahaaa
kaka masanilo, iPhone ni kati ya simu rahisi kabisa kufungua, siyo minokia mpaka uwe na box siju vitu gani> iPhone unafungua mweeenyewe kwa kutumia kijilaptop chako:redface:
 
Hapo ipo katika Restore Mode! Kuna Application inaitwa TinyUmbrella au iREB (zipo bure google) unatakiwa kudownload ili uondoe iphone katika restore mode..

Ikikataa kutoka basi ni lazima uRestore simu. kwanza hakikisha iTunes yako ni latest version 10.6.3.25, uwe umedownload latest custom firmware 4.2.1 kwaajili ya iPhone 3G, weka iPhone katika DFU mode maelezo yapo hapa ( iClarified - iPhone - How to Put an iPhone Into DFU Mode ), ukiwa na connection ya internet, baada ya kuwa katika DFU, connect simu kwenye iTunes itakwambia uRestore, shikilia SHIFT key kwenye keyboard baada ya hapo click RESTORE kwenye iTunes, locate firmware yako uliyodownload then iache imalize kuRestore!

yes,
nimeweza sasa, thank you sir.....sasa najaribu ku-unlock!!! wacha niendelee kutafuta software...... ahsante mkuuuu
 
Komaa tu kaka utaweza kuna tutorial kibao, ikomaliza ukikuta imepoteza network nishtue nikutumie kafaile cha kurudisha network.

Sent from my Z3 using Tapatalk 2
 
DUUUUUUU,
NAFURAHI...... nimejailbreak sasa, nimetumia hii redsnow, wanauza lakini nimeiba kule kwa 4shared.com.... yaani hii simu ingekula kwangu!!! but, nimeshapata kau-taalamu bwana.. sema tu niko hapa porini SELOUS, hakuna watu ningefungua ofsi ya masimu... sasa hawa simba, ngedere, minyani, wako bize na maembeeee!!!!!

Komaa tu kaka utaweza kuna tutorial kibao, ikomaliza ukikuta imepoteza network nishtue nikutumie kafaile cha kurudisha network.

Sent from my Z3 using Tapatalk 2
 
kuUnlock inawezekana pia, Modem Firmware yako ni ngapi?

Natumia hii TTCL BROADBAND.... nimefanikiwa mkuuu, nimefuata maelezo yako with tutorials from youtube...
Mungu akupe hekima na maisha marefu, uendelee kutoa elimu ya kusaidia watu kama sisi

IDUMU JAMII FORUM
AMEEEN
 
I have got the same problem whith iphone 3GS, currently it have software version of 5.1.1(9B206) and modem firmware 05.16.05 inasema no service na maranyingine invalid sim. Inawezekana hii problem inaweza kuanza after software update coz hyo version 5 design flan inaonekana kama kubwa vile kwa iphone3, nipeni mawazo wadau!
 
Back
Top Bottom