Nimekwama kwenye Mwl Nyerere scholarship

Sizinga

Platinum Member
Oct 30, 2007
9,101
6,026
Nimecheki detaails zake ila nilipofika hapa nikakwama.

"Please note that you will not be able to access the online application form unless you have applied for admission to the University of Edinburgh and have full EASE authentication."

Nikajaribu kuigonga hiyo link chini haifunguki...sasa hiyo admission nita-apply vipi ili niweze kua-access hizo application form?? Plz help
[h=2][/h]
 
nafikiri nafasi ya masomo imetenganishwa na scholarship yaani fedha za masomo. vyuo vingi vinataka kwanza uombe place of study then scholarship ndo inafuata
 
Unatakiwa kwanza upate admission ya University kabla ya kuomba Scholarship. Kumbuka kuwa admission ni kitu tofauti kabisa na scholarship. Bila admission huwezi pata Scholarship. Na unaweza ukapata admission lakini usipate scholarship.

Kila chuo kina system yake. Vyuo vingine vitu hivi vyote viwili (admission na scholarships) huwa vinaenda kwa pamoja,nikimaanisha ukipata admssion automatically unakuwa umepata scholarship. Vyuo vingine kama hicho cha University of Edinburgh vina style ya kutenganisha applications za admission na scholarship.
 
nafikiri nafasi ya masomo imetenganishwa na scholarship yaani fedha za masomo. vyuo vingi vinataka kwanza uombe place of study then scholarship ndo inafuata
kaka chagua kwanza course na itakupeleka moja kwa moja kuapply online but u have to prepare £50 for application fee they will not process your application until umelipa very simple ukishapata admission then utaapply scholarship au muda mwingine utafanyiwa interview I have enough an experience na mambo haya nilifanya interview za kutosha kaka mpaka kuja kupata scholarship
 
UoE hawana processing fee yoyote, mimi ni mmoja wapo wa watu walioomba admission ya MPP yaani Master of Public Policy mwaka huu August na nilipata admission ya kuingia mwezi September, 2011 lakini nilipostpone hadi September, 2012 kwasababu ya funding issues. Process za kupata admission zinachukua muda kidogo lakini hutatozwa hela yoyote. Na kama wadau walivyoongea hapo awali huwezi kuapply for scholarship kama huna admission ( unconditional offer).

Vitu vya muhimu ni vyeti vyako undergraduate/ Postgraduate na two academic letters (reference) kutoka chuoni/vyuoni kwako. Profficiency ya English ni muhimu lakini kama huna unaweza kuomba barua chuoni kwako lakini kuna namna inabidi iandikwe ili ipite kwenye board yao huko scotland.
 
Ingia kwenye website and then uone kwa scholarship hii ya Mwl Nyerere kwa chuo hicho lazima ulipe application fee vinginevo hawataprocess application yako mie nina udhoefu ninapoandika hapa nimeshamaliza Master yangu huko New Zealand kupitia michakato hii
 
UoE hawana processing fee yoyote, mimi ni mmoja wapo wa watu walioomba admission ya MPP yaani Master of Public Policy mwaka huu August na nilipata admission ya kuingia mwezi September, 2011 lakini nilipostpone hadi September, 2012 kwasababu ya funding issues. Process za kupata admission zinachukua muda kidogo lakini hutatozwa hela yoyote. Na kama wadau walivyoongea hapo awali huwezi kuapply for scholarship kama huna admission ( unconditional offer).

Vitu vya muhimu ni vyeti vyako undergraduate/ Postgraduate na two academic letters (reference) kutoka chuoni/vyuoni kwako. Profficiency ya English ni muhimu lakini kama huna unaweza kuomba barua chuoni kwako lakini kuna namna inabidi iandikwe ili ipite kwenye board yao huko scotland.

Hapo kwenye red mkuu umeongea suala nyeti sana na muhimu kwangu...hivi hizo references letters lazima zitoke chuo ulichosoma?kwani mi niko bongo na nilisoma outside, sasa hawa referees hawawezi kuwa watu wengine tofauti na wa college??
NitakuPM kwa maelezo zaidi.
 
Ingia kwenye website and then uone kwa scholarship hii ya Mwl Nyerere kwa chuo hicho lazima ulipe application fee vinginevo hawataprocess application yako mie nina udhoefu ninapoandika hapa nimeshamaliza Master yangu huko New Zealand kupitia michakato hii[/QUOTE

Sina uhakika na unayoyasema ila nitayafanyia kazi, mimi nilimeingia kwenye link ambayo huwa ninafanya nao mawasiliano (intranet i suppose)kwa kutumia username na password waliyonipa nikakuta hilo tangazo kwasababu wao wana mtindo wa kutoa new information kwa applicants wao. Then nilipoingia kwenye online application moja kwa moja ikadisplay university username yangu (UNN) ambayo bila hii hawawezi kukutambua nikaapply then ikaniletea ujumbe huu kwenye e mail
Dear Mr....

Your application for Julius Nyerere Scholarship has been received.
Please remember that if you have not already provided a copy of your degree transcript and two academic references as part of your application for admission, that you should submit these to your admissions officer as soon as possible as your scholarship application will not be considered without this supporting documentation. You can either upload them using your online University account or you can post them to the relevant College office. Please ensure that your full name and date of birth are clearly indicated on your supporting documentation. Further information can be found at www.ed.ac.uk/studying/postgraduate/applying

We will be reviewing your application after the closing date for scholarship applications and will be in touch after the scholarship selection panel have met.

For information on student funding for 2012-2013 please visit Scholarships and Student Funding Services website.

http://www.ed.ac.uk/student-funding

Yours sincerely
Scholarships and Student Funding Services

--
The University of Edinburgh is a charitable body, registered in Scotland, with registration number SC005336.

Pia nikipata hiyo scholarship nitatoa mrejesho nyuma hapa hapa.
 
Hapo kwenye red mkuu umeongea suala nyeti sana na muhimu kwangu...hivi hizo references letters lazima zitoke chuo ulichosoma?kwani mi niko bongo na nilisoma outside, sasa hawa referees hawawezi kuwa watu wengine tofauti na wa college??
NitakuPM kwa maelezo zaidi.

Haiwezekani lazima ziwe za chuo ulichosoma, nahisi kama unafanya kazi pia barua ya mwajiri inaweza kusaidia ila sina uhakika sana, cha muhimu ni kujaribu...unajua hawa watu wanaangaliaga na legitimacy ya issue yenyewe.
 
Duh, ndio nilikuwa naangalia sample za LOR hapa nimeona most of those letters zinatoka kwenye college uliyosoma, so ngoja nianze mchakato wa kuwasiliana na maprof wangu..bt the issue ni kwamba hao watu ni wahindi halafu kipindi hiki ni cha maandalizi ya mitihani, so wako smhw busy...bt let me try. Dah haya mambo.

Cheki hii sample hapa chini:

LETTER OF RECOMMENDATION

I am writing this letter in support of Ms. xxxx, who is a student of Electronics and Communication Engineering at our college. In my capacity as a senior lecturer of the department, I have known her for the past four years and have found her to be an aspiring and sincere student. She is ranked within top 10% in her department of 117.

I have handled the courses of "Electronic circuits and Analog and Digital Communications." She has done exceedingly well by topping the department with an excellent score of 98% in Electronic circuits. This proves that she is strong in her fundamentals.

She has an inquisitive mind and good interpretation abilities that will greatly facilitate research work at your university. An intelligent and hardworking student, Divya has a natural inclination for research. This inclination stems from her curious bent of mind and a nature for questioning. She has the ability to voice her ideas clearly, which greatly enhances her expressiveness in solving doubts when approached by fellow students. Her extreme interest, persistent attitude and intellectual curiosity drive her to get deeply involved in her work and excel in it.
At a personal level, Divya is a well disciplined, industrious student with a pleasant personality. She is unstinting in her efforts to keep abreast with the latest technologies, indefatigable in showing the applications of theory to practice in the Laboratory.
Besides academics, Divya as a member of the association for communication engineers in this college takes part enthusiastically in various co-curricular activities of the department. She played a major role in organizing ‘Elenchus', a national level technical symposium conducted by the Department.
In my unbiased opinion she has a rich blend of creativity, temperament and discipline required for a person who desires a career in communication engineering. I strongly recommend her to the graduate program in your esteemed university with full assistantship.

Prof XXXX
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom