Nimekuwa sugu

Nimetendwa sana na nimezoea sasa hivi,hata nikipenda yaani nachukulia kawaida,hata akinitenda poa tu wala siumii,aniache asiniache ni poa tu.<br />
Yaani sifeel kuwa ni special kwangu,namchukulia kawaida sana.<br />
Nifanyaje maana nitakuwa naumiza pale mtu anaponipenda sasa hivi kumbe hajui mi namchukulia poa tu.
<br />
<br />
Wewe ndio mtu sahihi kwangu! Nahitaji mtu wa aina hiyo sio kugandanagandana kama ruba!! Hebu ni Pm ndugu twendeleze libeneke !
 
Ni kawaida, ila kuna siku utakutana na malaika wako, utajishangaa kama ni wewe ulikuwa unaongea haya maneno
Haya mambo ni ya ajabu sana mkuu
 
Mpaka sasa habar ya kupenda huwa nahis ni story tu. Kote nilikodhan nimependa, niliambulia patupu. Sijui huko mbele ya safar, maana meng niyafanyayo yamekuwa maigzo.
 
Back
Top Bottom