Nimekutana na kongosho

wiki hii bwana nimekutana na kongosho alikuja ofisini kwangu kwa shughuli zake binafsi ila hakunitambua kuwa mimi ndio C.T.U ila mimi nimemtambua kwa uwezo wangu binafsi katika masuala ya inteljensia na saikolojia ya binaadamu na nilijifanya kuwa simjui na wala sikumsemesha kitu chochote
ila nampa hongeza zake maana mmmh

Siji ofcn kwako tena
 
@cousin, ndio maana umepooza. Pole sana mpendwa. Ngoja nikuitie ankal.
 
Unanikumbusha mtandao flani sitautaja... Ilikuwa raha sana.. Tukaamua tufanye get together.. Tukakutana Mango Garden...

Mara ya pili tukakutana rose Garden... Dah...

Cha ajabu,baada ya mikutano hiyo miwili,na baada ya miezi mitatu baadaye,mtandao ukafungwa!
Kwanini ulifungwa mkuu??
 
Mi vya hivo ndio hata siwezi kwenda.
Na kama kwa sabbu moja au nyingine I need to go
(kama vya Regia) wala siwezi kujitambulisha! QUOTE:


yaani unakuwa ama mnakuwa so excited kiasi kwamba,unakuwa na hamu ya kuonana na memba flani-flani...

Tatizo linakuja mnapoweka hisia za kimapenzi..(maana asikudanganye mtu,mara nyingi kujuana kwa namna hii,huishia kuaprochiana...)

sasa si kuna kukataana.... Baada ya hapo ugomvi,na mtandao hauingiliki tena..
 
Kwanini ulifungwa mkuu??

Kuna baadhi ya watu walitongozana... Waliokubaliana walikubaliana... Wengine walikataana,na kuzaa chuki...

Na mod alikuwa mzungu mwenye girlfriend wa kibongo.. Kwanza waligombana girlfriend wa mod na bidada mwingine naye memba wa huo mtandao,na wa ofisi moja na mod na gf wake...

Sababu haikujulikana..nilisikia tu,eti umbea(nilimsikia gf wa mod)
 
Back
Top Bottom