Nimekutana na kongosho

C.T.U

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
5,070
3,718
wiki hii bwana nimekutana na kongosho alikuja ofisini kwangu kwa shughuli zake binafsi ila hakunitambua kuwa mimi ndio C.T.U ila mimi nimemtambua kwa uwezo wangu binafsi katika masuala ya inteljensia na saikolojia ya binaadamu na nilijifanya kuwa simjui na wala sikumsemesha kitu chochote
ila nampa hongeza zake maana mmmh
 
mmmmh nini tena ana makalio makubwe(ke) au ana kitambi kikubwa(me)
 
ndio unatafuta umaarufu kwa style hiyo?

hivi kumbe kutangaza kuwa umekutana na mtu ndio unatafuta umaarufu??
Nilikuwa sijui basi kesho nitakuja kusema nimekutana na lusinde
 
Mie kwanza nataka kujua kama KONGOSHO ni KE au ME.....................?
Ukipatia tu, nitakuamini uyasemayo.......................
 
Kwangu raha ya JF ni anonymity. Tukishaanza kujuana basi tena
Isitoshe, tujuane huko uraiani halafu uje kuanzisha thread about it? Kha!
 
Unavyosema kujua unamaanisha kujuana kiaje labda??
 
Mie kwanza nataka kujua kama KONGOSHO ni KE au ME.....................?
Ukipatia tu, nitakuamini uyasemayo.......................
Ni siri yetu ya wawili kati yangu mimi na kongosho
 
Back
Top Bottom