Nimekutana na GF wangu wa zamani................Eti anataka tuoane!

Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,810
15,398
Alikuwa ni GF wangu mwishoni mwa miaka ya tisini, akaenda kusoma Chuo cha Uhazili Tabora, alifanikiwa kupata kazi huko, akakata mawasiliano. Wiki iliyopita nikiwa wizara fulani kikazi nikakutana naye, kumbe alihamishiwa hapo mwanzoni mwa mwaka huu..............Akaniomba tukutane kwa mazungumzo.
Nimekutana naye jioni hii akanisimulia kwamba aliolewa na kuzaa mtoto mmoja wa kiume, lakini baada ya miaka mitano ya ndoa aliamua kudai talaka kutokana na mateso ya mume...................Sasa anadai eti alikuwa ananitafuta sana, na lengo lake alitaka turudiane, kwani sasa amejua kwamba alikosea........... nilipomjulisha kwamba nimewowa.............akaniambia yuko tayari awe mke wa pili................ masihara eh.....!
 
inavyoonekana huyo nainai wako ulikuwa nae muda si mrefu enhee.. pole sana kwa jaribu kama hilo sijui mama ngina akijua atasemaje?..
 
Nimekwepa mtego huo..................yaani huyu ana makusudi mabaya kweli, sasa si kutaka kunitia katika dhambi..... ana bahati sana huyu nishaacha mambo hayo............LOL
 
Mkuu kisa chako nami kishawahi kunitokea utofauti ni kwamba mimi sijaoa na demu wangu wa kitambo bado yupo kwenye ndoa
 
Aahhh bwn mwache akumbushie tu na km vp nafsi inasoma amsogeze tu! Huwez jua kwann Mungu amewakutanisha tena labda yy ndo sahih kwake. Dah japo inakua ngumu kdg,,,[/QUOTE

Yaani umeniwahi...nilitaka kumwambia kukutana kwenu ni mipango ya mungu.
 
wewe hata uninunulie samsung galaxy nakusemea tu.
Kuna kitu unatafuta............si bure, nishakwambia tutayamaliza kimya kimya lakini unakomaa tu.............. Kwanza ukisema wa mama Ngina nitakuruka kwamba sio mimi nilosema maneno hayo...........tuone atamuamini nani?
 
Heheh ukijidai kuruka mimi hapa nakuwa shahidi, mpaka kwa huyo kishtobe napajua!! Alafu dingi hapa kama umeficha kitu, ebu sema huwa mnakutana wapi vilee mkiwa mnakumbushia?? Lol
 
Alikuwa ni GF wangu mwishoni mwa miaka ya tisini, akaenda kusoma Chuo cha Uhazili Tabora, alifanikiwa kupata kazi huko, akakata mawasiliano. Wiki iliyopita nikiwa wizara fulani kikazi nikakutana naye, kumbe alihamishiwa hapo mwanzoni mwa mwaka huu..............Akaniomba tukutane kwa mazungumzo.
Nimekutana naye jioni hii akanisimulia kwamba aliolewa na kuzaa mtoto mmoja wa kiume, lakini baada ya miaka mitano ya ndoa aliamua kudai talaka kutokana na mateso ya mume...................Sasa anadai eti alikuwa ananitafuta sana, na lengo lake alitaka turudiane, kwani sasa amejua kwamba alikosea........... nilipomjulisha kwamba nimewowa.............akaniambia yuko tayari awe mke wa pili................ masihara eh.....!

Babu mtambuzi mpotezee huyo. wewe umeshazeeka tuachie sisi vijana
 
Back
Top Bottom