Nimekuta chupi ya mke wangu chumbani kwa mdogo wangu wa kiume

Dhana mbaya.labda kuna panya alibeba?labda kuna MTU aliinua kwenye kamba kinakosa akaipeleka huko.?kwa tukio hlo huna sababu ua kumuhukumu mkeo.nakushauri.muite DOGO umuulize.utajua tu ukweli.
 
Mkuu unaishi kwa wasiwasi sana na siyo kweli unamuamini mkeo kama ulivyo elezea...mchupi wenyewe wa zamanii ushasema...umeikuta katika mazingira gani na kabla dogo hajaja mjini hiko chumba kilikuwa kinatumiwa na nani...usikute mchupi wenyewe umeukurupua kwenye mibox ya nguo za zamani huko we unajitia sumu tu kichanii...kama unamwamini kama unavodai mface tu live jibu utapata..kama huwezii mzee kuwa mpole na endelea kula tunda la mti wa katikati.
 
Chupi haina miguu mkuu

...Either mke wako aliisahau umo chumbani au mdogo wako aliichukua (MKEO ANGEKUWA ANAITAFUTA) au zilijiMix kwenye nguo...
...TULIA FANYA UCHUNGUZI UTAPATA MAJIBU..
 
Mmmh...hapo red panakuhusu sn
Wala usipanic mkuu tuliza akili kwanza, anza kufuatilia nyendo za mkeo na huyo mdogo wako kabla hujafanya maamuzi. Tumia mbinu za ki cia yaani uchunguzi wako uwe classified asijue mtu.

Angalizo:Kama huwezi kumuacha mkeo usimchunguze
 
HAINA USHEMEJI TUNAKULAGAAAAA...........
Anyway piece of advice... cool down unatakiwa kushusha pressure wala usikurupuke usije iko cost
Anza manage mwenendo wa wife na mdogo wako
Badilisha timetable zako kwenye muda wa kuondoka na kurudi, unaweza fanya suprise ukarudu nyumbani hata 2 hours baada ya kwenda kazini, hii pia inategemeana kama wife mtu wa nyumbani au anafanya kazi
Unaweza kuaga unasafiri for 4 days, ondoka kesho yake urudi usiku kwenye saan nne usk, hii itakupa picha haisi na mwenendo wa hao wawili
Kama utakosa evidence baad aya mwezi mmoja na nusu, mkalishe chini waife a akuambie mbivu na mbichi
Cool down and take easy, usipanic wala usitangulize hasira, hata mimi similar scernario happen but proved WRONG
 
Kama ni kweli basi tayari tokea siku nyingiiiii unachapiwa na dogo.

Hajaanza jana wala juzi mpaka alipozoea sana ndio akasahau chupi.

Lakini umesahau kuwa "Kizuri kula na nduguyo?"
 
Ha ha ukiona manyoya jua...........

Ukweli busara yahitajika sana na uchunguzi kuna mawili hapo huenda hainAga ushemeji wanakulana tu wewe ukiwahi job dogo anampa cha asubuhi...akirud mchana kula anashika kalio shemeji shemeji wazima taaa

Pili huenda dogo domo zege ameiba hiyo pichu kupigia pull zake ujue kuna midume kaa beberu wanapenda harufu za kyupi akinusa muruuuua...

Wewe mchunguze wifi wako utajua jua kama anabanduliwa ilA uvumilivu muhimu kumbuka huyo mke na mna mtoto.fikir sana maisha ya mtoto wenu na pia kama vipi muamishe dogo as long ana bajaji uwezo wa kupanga upo
Bora akawaite woteawambiealichokionawamueleze kama mshikaji amebeba wife atamkana na kama wanabanjuana dogo atasema tu. Kwani huyo mwanao kwamba ukimuacha utakuwa na dhambi? Lakini kwanza jichunguze kama na wewe unakula vya watu ujue na wewe lazima kwako yakukute
 
Be a wiseman in your decisions....
Afadhali ni mdogo wako ndio amekusaidia kumtunza mkeo angekuwa adui yko sas kama hauko jela bhas hospital mahututi ...
Kizuri kula na nduguyo
 
Sasa wewe unaogopa nini kumuuliza mkeo?itapita siku nyingi na utashindwa kumuuliza...daaa DOGO hainaga ushemeji hiyo..kashaila mbunye huyo
 
Kama vipi kaichue ipeleke chumbani,weka sehemu ambayo ataiyona wife then fanya kama unamuuliza hii chupi mbona imechakaa sana ilikuwa wapi?
 
Inawezekana ilijichanganya wakati wa kuanua nguo.
Au inawezekana inafanana na ya mkeo ila sio.
Au imeletwa na panya.
Au dogo aliikota nje kajisahau kuirudisha wakati mvua inanyesha.
Au wife mchonganishi,kaitupia makusudi.
Au nini tena, au dogo anampa three phases, wewe unatoaga single phase.
Au dogo hampendi shemejie kaamua kumuharibia ndoa
 
Back
Top Bottom