Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,775
- 3,610
Unajiombea ufe tena? Makubwa! Pole sana. Mungu akusaidie upone.
Yawezekana kanywa dawa ya mbu huyu...............Hiy sumu haina ukali......mpwa hata kupost waweza!
POle mkuu rip katika kutapikando nataapishwa hapa
Hivi kuna binadamu mwenye uwezo wa kumtapisha binadamu mwingine! ninachofahamu binadamu ana uwezo wa kutapika na sio kutapishwa.