Nimekunywa sumu bahati mbaya sijui

we mkaree unakunywa thumu na kujipereka hospital ningekuwepo mie first aid ni kukunywesha mkorogo wa kimba la ng'ombe na mkaa lazima upone, kwani maziwa hasara bora tunywe sie tuongeze shavu we si utayatapika.
 
Pole , Mungu aliekunusuru mpaka umeweza kutujuza na aendelee kukukumbatia na kukufunika na kukurudishia afya njema

Jipe Moyo Mkuu utapona tu
 
Baada ya kuona post hii "pressure yangu ilidondoka ikanilazimu nami kudondoka" naomba unambie umepona.........ili ninyanyuke
 
Back
Top Bottom