..nimekumbuka mbali sana..

hebu kumbuka hili shairi:
...
Sikiri mimi maskini, uvivu wangu nyumbani, ukiwa huu njiani, nakufa hapa kwanini?
...
Sadiki sasa ashiba, chakula kingi kwa baba,,, [daah, hebu endelea kama unakumbuka, mm nimesahau...]

sadiki sasa ashiba, chakula kingi kwa baba, nirudi tena kwa baba, nakufa hapa kwa nini?
 
.. Huyu ni baba, baba ana ng'ombe, baba anasema, kimbia ng'ombe, kimbia nyumbani, kimbia upesi, baba ana njaa...
 
Hadithi inayokuja, ni ya sungura sikia, hadithi uliyongoja, leo ninakuletea, alitoka siku moja, njaa aliposikia, njaa aliposikia, sungura nakuambia
 
1. Mandawa na manenge
2. Mzee tola
3. Mfalme mwenye masikio kama ya punda
4. Sizitaki mbichi hizi..
5. Safari yenye mkosi.
6. Siku ya gulio Katerero.
Daah! Lakin hii haichekeshi wadau. Hebu na wewe kumbukia enzi zako za primary..

Pioneers meeting in Zanzibar, adventure in the game reserve ....
 
Back
Top Bottom