Nimekula kwa Macho akiwa na Night dress tuu.

wewe bana uliendekeza uroho tu..! ungeenda taratibu ungeona ndani, wakati mwingine wa staili hizo hawataki papara. tena akiona hujatulia ndio kabsaaaaaaa hupati kitu! hapo mzee ungeanza mdogo mdogo afu unazuga kama hauna mpango nae hivi....sasa wewe unaona night dress tu balaa unataka kujikaribisha ndani mwenyewe

Mistake made!
 
huyo mdada ana matatizo ya kisaikolojia. Nina rafiki yangu alikua na matatizo yanafanana na ya huyu, ilichukua muda sana mpaka kua binadamu wa kawaida. anahitaji ushauri nasaha. unafanya kitu unadhani you are right then you realise when it is too late kua umefanya ndivyo sivyo.

Good words so nimrufie tena?
 
Maisha ya mapenzi si mchezo; alikuwa my honey longtime, nikaenda kupiga kitab majuu. Juzi nimerudi jana kaniomba nimpeleke dinner, tumepata dinner kama kawa majira ya saa nne nkimrudisha kwake, akashuka akafungua geti nikaingiza mandolina yangu na kupaki, karibu ndani; akanizungusha vyumba vyote mpaka store na mwisho akaninipeleka master, nikaingia humo na neno karibu lilimtoka. Nikapewa vifaa vyote vya kujiweka sawa kiusafi pamoja na kukatwa kucha. Kausingizi kakanipitia kidogo niliposhituka alikuwa adjacent to me with light night dress very transparent and lookable.
Bila shaka unajua mzee mzima alivyoshituka na kuanza machachari: left hand on site right hand on gear. Side by side; left went further top to bottom near the real site nikasikia niache huko!!!!!!!
Ebwana eeeeehh ndio ilikuwa mwanzo wa varangati, nikaomba ruhusa akataa kabisa. Nikajua staki nataka: nikaongeza ufundi kidogo laaaaa nikasikia ukiendelea nitakupasua na chupa.
Nikaomba kufunguliwa mlango nitambae akakaa kimya. Sikuona ufunguo mpaka asubuhi.
Nilipofunguliwa mlango nikakanyaga mafuta kwa hasira na kurudi geto.

Masaa mawili baadaye nikatumia ujumbe huu
"I fight hard 2 recover, n in due course so 2 do, i find myself do thngs whch hurt others with no intention 2 hurt anybody. Ths text comes as an apology 2 u, its hard 2 xplain, bt May ur hrt allow 4giveness 4 wht has happened.......

Wadau toeni ushauri nifanyeje, maumivu ya mzee mzima mpaka sasa yanaendelea.

kitu pekee kinachomkutanisha mme na mke ni NGONO. umefanya vibaya kuapologize, ungeuchuna na ukakata mawasiliano mpaka akutafute, kwani haiwezxekani mtu akutege kiasi hicho halafu akubanie. Kama ni suala la zinaa tayari kati yenu hakuna masafi, kwani maandiko yanasema......mtu akisha mtaman mwanake, tayari amezini naye...., sasa huyo mwanamke anakubali kushikwa sehem zote lakini anakataa site....zinaa ipo
 
I once had a girlfriend kabla ya kuoa. yeye anakaa mbali na mimi huko Bukoba mimi nipo mwanza. tulitamaniana sana na kupandishana ashiki kwa simu zetu, siku moja nikamkaribisha aje anitembelee rocky city, lakini akaniambia nakuja silali kwako. nikwambia kama hulali kwangu basi usije, mie nataka kulala na wewe, kula na wewe kama hauko tayari usije.

aliamua kuja. nilimpokea nikamwandalia mamisosi ya kigumu akapata maji tukaja kulala. kama alivyo wa kwako, alikubali kushikwa kila kona ya mwili wake isipokuwa site kama ulivyosema. alikubali kuvuliwa nguo zote hadi chupi lakini site nisifike. nilitamani nimbake, lakini nikaona siyo busara, acha tu nishawishi. nimeshawishi lakini akagoma kabisa kwa kigezo kuwa aliweka nadhiri hatofanya ngono nje ya ndoa.

nimelala naye kitandani two days, kila siku na kila saa naomba nipunguze jazba za jokel lakini alikataa na mwisho wa siku akanitamkia, kama unaona kufanya mapenzi ndo upendo, basi tafuta mwanamke mwingine. nilimwuliza hivi wewe unanipenda kweli? badala ya kutafuta njia za kunilinda nisifikirie mwanamke mwingine ndo kwanza unanijengea mazingira ya kutafuta? haya umeshinda.

alipoondoka, mie nilimchunia, sikumtafuta kama ilivyokuwa mwanzo kwani tayari nilimwona mwuaji. kila tukiwasiliana ananitania bi mdogo hajambo? namwambia natafuta.

siku moja tukiwa kwenye kampeni tumeenda kusikiliza mbovu za masha, nikamwona bint, basi tukabidilishana namba, baada ya wiki mbili, nikamwalika home, akaniondoa uzito. tukaamua twende kupima, akanichukua mpaka bungando, tukapima wote safi, kurudi nyumbani ilikuwa kaka sherehe, tulido mpaka ile mbaya.

baada ya kuwasiliana na yule wa bukoba, aliponiuliza bi mdogo hajambo nilimwambia hajambo anakusalimia, mpqaka leo nimezama na sasa nina mtoto mmoja. alipobaini sikuwa natania, alizimia lakini nilimdanganya nitaachana naye kitu ambacho siwezi mpaka leo................

story ni ndefu sana.....naishia hapa
 
we kiboko
 
Huyo demu ananyodo mshenzi,jifanye kumsamehe ili mwendelee na mahusiano,then mwite aje kwako,mbembeleze kufanya mapenz akikubali mchojoe nguo zote,mchezee unavyoweza kumrahinisha kiumbe huyo but not sex.akilainika mpige dole za kutosha then mwambie kwaeli.
 
Ushauri wa bure,acha uzinzi.ila tunashukuru tumejua kuwa ulienda kusoma majuu na una mandolini na vilevile huyo kicheche wako nae ana nyumba yenye hadi store.over

Umenichekeshaje!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom