Nimekula kwa Macho akiwa na Night dress tuu.

maisha ya mapenzi si mchezo; alikuwa my honey longtime, nikaenda kupiga kitab majuu. Juzi nimerudi jana kaniomba nimpeleke dinner, tumepata dinner kama kawa majira ya saa nne nkimrudisha kwake, akashuka akafungua geti nikaingiza mandolina yangu na kupaki, karibu ndani; akanizungusha vyumba vyote mpaka store na mwisho akaninipeleka master, nikaingia humo na neno karibu lilimtoka. Nikapewa vifaa vyote vya kujiweka sawa kiusafi pamoja na kukatwa kucha. Kausingizi kakanipitia kidogo niliposhituka alikuwa adjacent to me with light night dress very transparent and lookable.
Bila shaka unajua mzee mzima alivyoshituka na kuanza machachari: Left hand on site right hand on gear. Side by side; left went further top to bottom near the real site nikasikia niache huko!!!!!!!
Ebwana eeeeehh ndio ilikuwa mwanzo wa varangati, nikaomba ruhusa akataa kabisa. Nikajua staki nataka: Nikaongeza ufundi kidogo laaaaa nikasikia ukiendelea nitakupasua na chupa.
Nikaomba kufunguliwa mlango nitambae akakaa kimya. Sikuona ufunguo mpaka asubuhi.
Nilipofunguliwa mlango nikakanyaga mafuta kwa hasira na kurudi geto.

Masaa mawili baadaye nikatumia ujumbe huu
"i fight hard 2 recover, n in due course so 2 do, i find myself do thngs whch hurt others with no intention 2 hurt anybody. Ths text comes as an apology 2 u, its hard 2 xplain, bt may ur hrt allow 4giveness 4 wht has happened.......

Wadau toeni ushauri nifanyeje, maumivu ya mzee mzima mpaka sasa yanaendelea.
aisee ushauri kwa malaya sitoagi samahani kwa hili maana najua huyo mwanamke wako ana mwenzio na hata wewe kama boya kulala kwa mwanmke wako wa zamani umeonekana jinsi gani ulivokuwa ovyo kama mwanaume lazima uwe na msimamo najua shida yako mpaka unamaliziia sentensi ya mwisho seem huyo binti alikuwa anakutunza sasa kwa atakae toa ushauri anakuharibu mpwa m siamini mwanaume wa maisha ya sasa kutafuta mwanamke mwenye uwezo...ulivyoonyesha hata hako kagari chako ni ka ofisini ndio maana umewahi fasta kupitia wale wenzio jamaa wasikutundike na risiti za buku 20 za tax
narudia tena
acha kuwa tegemezi
 
Ushauri wa bure,acha uzinzi.ila tunashukuru tumejua kuwa ulienda kusoma majuu na una mandolini na vilevile huyo kicheche wako nae ana nyumba yenye hadi store.over
heee mbona umempachika zito hivyo mwenzio?
 
tena nyie mnaojifanya mnasoma/mmesoma nje mnakuwa na dharau kichizi kwa wabongo kisa mmeona vyeupe /uliwapanga weupe.na inawezekana ulimtukana kipindi ukiwa huko ukadhan ushaimaliza dunia. umerud umekuta ndivyo sivyo na ulivyoyafikiria yamekushuka shuuu......loooh mwanaume huna haya wewe
 
Ungembaka tu mkuu..
Hapo hamna kesi, am a gud loya! Next time ikikutokea mbake then nitwangie nitakusaidia kisheria!

Hiyo sheria mpaka imuone hana hatia si atakuwa ameshasota mahabusu mpaka basi!! Alichokifanya ni sahihi na siku nyingine asikubali kubaka kwani kubakana hakupendezi.

Inafaa wawili wakubaliane na kila mmoja awe sehemu ya mchezo ... Akibaka mwingine atakuwa anasoma magazeti. lol
 
wewe bana uliendekeza uroho tu..! ungeenda taratibu ungeona ndani, wakati mwingine wa staili hizo hawataki papara. tena akiona hujatulia ndio kabsaaaaaaa hupati kitu! hapo mzee ungeanza mdogo mdogo afu unazuga kama hauna mpango nae hivi....sasa wewe unaona night dress tu balaa unataka kujikaribisha ndani mwenyewe
 
Weeh! Mwanamke hazini! Wanaume ndo wanazini, ndo maana hata Yesu alipopelekewa yule mwanamke aliefumaniwa alimuacha aende zake. Angeletewa mwanaume nahisi angemnyofoa korodani!
aziniye na mwanamme ana akili, eti?
 
Kwani alilalaje kama kweli mlikua mast na on the bad ungezingua kinyumenyume.
mwenyewe angegeuza.
 
huyo mdada ana matatizo ya kisaikolojia. Nina rafiki yangu alikua na matatizo yanafanana na ya huyu, ilichukua muda sana mpaka kua binadamu wa kawaida. anahitaji ushauri nasaha. unafanya kitu unadhani you are right then you realise when it is too late kua umefanya ndivyo sivyo.
 
take care
2kg ni rahisi sana kuzibeba na kuzipeleka makaburini kwa nyimbo za kalale pema peponi kamanda
 
Weeh! Mwanamke hazini! Wanaume ndo wanazini, ndo maana hata Yesu alipopelekewa yule mwanamke aliefumaniwa alimuacha aende zake. Angeletewa mwanaume nahisi angemnyofoa korodani!
labda nikusaidie
kuzini ni tendo na sio mtu..mnapofanya uzinzi wote kwa pamoja mnaitwa wazinzi ndio maana mwanaume kwa mwanaume wakifanya mapenzi nao ni uzinzi..inapofika mmemaliza shuguli wote mnaitwa wazinifu pale ndipo utakuta mmoja anaamka na kelele hujui kazi ,,oohh nimekuonnjesha tu unapiga kelele ningekupa je...lakini wote wanabaki kuitwa wazinifu

ISIWE KWAKO IN JESUS NAME
 
aisee ushauri kwa malaya sitoagi samahani kwa hili maana najua huyo mwanamke wako ana mwenzio na hata wewe kama boya kulala kwa mwanmke wako wa zamani umeonekana jinsi gani ulivokuwa ovyo kama mwanaume lazima uwe na msimamo najua shida yako mpaka unamaliziia sentensi ya mwisho seem huyo binti alikuwa anakutunza sasa kwa atakae toa ushauri anakuharibu mpwa m siamini mwanaume wa maisha ya sasa kutafuta mwanamke mwenye uwezo...ulivyoonyesha hata hako kagari chako ni ka ofisini ndio maana umewahi fasta kupitia wale wenzio jamaa wasikutundike na risiti za buku 20 za tax
narudia tena
acha kuwa tegemezi

Useless
 
tena nyie mnaojifanya mnasoma/mmesoma nje mnakuwa na dharau kichizi kwa wabongo kisa mmeona vyeupe /uliwapanga weupe.na inawezekana ulimtukana kipindi ukiwa huko ukadhan ushaimaliza dunia. umerud umekuta ndivyo sivyo na ulivyoyafikiria yamekushuka shuuu......loooh mwanaume huna haya wewe

Sio wote mimi nilikusanya nguvu ajili yake
 
Back
Top Bottom