Nimekula kwa Macho akiwa na Night dress tuu.

sina la kukushauri....
Zaidi naomba niazime mandolin hiyo nikafanye mtama kwa watoto, hopefully nitaopoa....

Anyway hujui umeepushwa na nini........... Si kila ukiona nightdress utake kuichoropoa, dunia imeharibika......
 
Nyumba ulijenga wewe?unakuja na vumbi lako la ulaya unadhani watu wanakula ulaya?funguka!!
 
Kwa sisi akina Mwitwa,Chacha,Maswe nk.Pangechimbika mkuu.Lakn ebu jiulize ulitaka upite au uko serious kimaisha?Afu,we mzembe,unapitiwa na uzingzi kwenye mazingra tata kama hayo?U were not serious mkuu.Na mwisho,kukupasua na chupa,she was jokg.Lastly,tafakari kwanza kabla haujarudi uckie dhamira yako inakutumaje!LAKN POLE SANA NA PAIN YA mzee mzima
 
Ushauri wa bure,acha uzinzi.ila tunashukuru tumejua kuwa ulienda kusoma majuu na una mandolini na vilevile huyo kicheche wako nae ana nyumba yenye hadi store.over

kwan lazma uchangie? Una uhakika na usemacho?Kwan kusoma majuu shda? Mshaur acha majungu na wivu usio na tija!
 
Ushauri wa bure,acha uzinzi.ila tunashukuru tumejua kuwa ulienda kusoma majuu na una mandolini na vilevile huyo kicheche wako nae ana nyumba yenye hadi store.over

hahahaha! senator mshauri mwenzio bwana, mbona kupampa kubwa hivo au mna visa?
 
Maisha ya mapenzi si mchezo; alikuwa my honey longtime, nikaenda kupiga kitab majuu. Juzi nimerudi jana kaniomba nimpeleke dinner, tumepata dinner kama kawa majira ya saa nne nkimrudisha kwake, akashuka akafungua geti nikaingiza mandolina yangu na kupaki, karibu ndani; akanizungusha vyumba vyote mpaka store na mwisho akaninipeleka master, nikaingia humo na neno karibu lilimtoka. Nikapewa vifaa vyote vya kujiweka sawa kiusafi pamoja na kukatwa kucha. Kausingizi kakanipitia kidogo niliposhituka alikuwa adjacent to me with light night dress very transparent and lookable.
Bila shaka unajua mzee mzima alivyoshituka na kuanza machachari: left hand on site right hand on gear. Side by side; left went further top to bottom near the real site nikasikia niache huko!!!!!!!
Ebwana eeeeehh ndio ilikuwa mwanzo wa varangati, nikaomba ruhusa akataa kabisa. Nikajua staki nataka: nikaongeza ufundi kidogo laaaaa nikasikia ukiendelea nitakupasua na chupa.
Nikaomba kufunguliwa mlango nitambae akakaa kimya. Sikuona ufunguo mpaka asubuhi.
Nilipofunguliwa mlango nikakanyaga mafuta kwa hasira na kurudi geto.

Masaa mawili baadaye nikatumia ujumbe huu
"I fight hard 2 recover, n in due course so 2 do, i find myself do thngs whch hurt others with no intention 2 hurt anybody. Ths text comes as an apology 2 u, its hard 2 xplain, bt May ur hrt allow 4giveness 4 wht has happened.......

Wadau toeni ushauri nifanyeje, maumivu ya mzee mzima mpaka sasa yanaendelea.

hakuna kitu kibaya kama kumuonesha weakness zako x wako utajuta kumfahamu..
 
Back
Top Bottom