Nimekukomesha mshenzi wewe, bastard!

hahahahahahaahaha,yewiiiiiiiiiiiiiiii nimechekaje jaman?????????safi sana kwa kweli
 
wewe na sweetlady hamna tofauti.....mweee
hivi utajipelekaje kwenye anga za x wako? Kuna jamaa mmoja hivi alikuwa amemchumbia binamu yangu akamtosa kuna siku nafasi ikatangazwa ofsini kwetu akanipa application zake mmh siku hiyo niliziwashia mkaa mbona? Useless man!
Bazazi ni bazazi
 
Wanawake walioumizwa kimapenzi utawajua tu. Mpaka sasa nshawasoma wanne JOJEETA, Smile, Purple na MadameX

Ngoja niendelee kuwahesabu. Mwishoni kabisa ntawapeni pole toka moyoni mwa babu.

Pole ya babu huondoa ugonjwa wa roho mbaya ya kisasi.

BABA hapendi.
 
Last edited by a moderator:

Makubwa haya...mie naenda kwenye anga za sweetlady na hakuna lolote anaweza nifanya
 
Last edited by a moderator:
Wanawake walioumizwa kimapenzi utawajua tu. Mpaka sasa nshawasoma wanne JOJEETA, Smile, Purple na MadameX

Ngoja niendelee kuwahesabu. Mwishoni kabisa ntawapeni pole toka moyoni mwa babu.

Pole ya babu huondoa ugonjwa wa roho mbaya ya kisasi.

BABA hapendi.
MI SINA SHIDA HII FORMULA ILISHANICHUKUA
While ur ignoring her
Another guy is giving her attention

While ur too busy 4 her
Another guy is making time for her

While ur making her cry
Another guy is trying to make her smile again

While ur not sure if u still want her
Another guy has already figured it out

KWA SASA NAENJOY TU BABU SINA SHIDA MIE
 
Back
Top Bottom